Quantcast
Channel: JF Chit-Chat
Browsing all 12068 articles
Browse latest View live

Makapuku Forum

Habari wana JF Habari Makapuku wenzangu Matumaini yangu wote mko poa kabisa. Uzi huu ni kwaajili ya makapuku wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu...

View Article


Wanawake mnapenda gari za aina gani?

Wakuu, nafuata ule msemo kuwa kama una silaha, hata bomu la maangamizi na adui anakusumbua, wewe tumia tu, kwa hiyo ni ujinga kuwa na ulimbo lakini ndege wanakusumbua na wewe unawaangalia. Sasa naona...

View Article


Tabia za wadada wa Dar

Zamani mtu akiolewa humskii kama week hivi au mwezi ana honey munika. Sikuhizi harusi leo kesho ndio wa kwanza kuamka kabla yako unakutana mapicha Instagram. Yaani usiku wa honeymoon, saa kumi na moja...

View Article

Wakuuu mlio dar njooni KB tabata bima kuna mziki watoto wanacheza wazuri...

Heshima yenu wakuuuu,Mkitaka kustarehe njooni KB tabata bima wakuuuu unakunywa bia kuna watoto wazuri na vijambio vyao wakuuu nilikuwa nimeacha bia mpaka Jana nimeirudia aiseee nimetembea viwanja vingi...

View Article

Toa Maon; Siku Ukiambiwa Mimi Ndugu Yako Wa Damu Utafanyaje?

Sabakher Wadau; Hv Siku Ikitokea Ukaambiwa Kuwa Yule Mbaba Mwenye ID ya Mzama Chumvin Jamiiforums Ni Ndugu Yako Wa Damu Utafanyaje?? MATUS SITAKI

View Article


ATM Machine

View Article

Wanaume wa Dar kwa kununua magazeti ya udaku wanaongoza

sijui tuseme ni majob less au ni umbea, au ni malezi, au ni ulimbukeni.. unakuta mwanaume na akili zake ananua gazet la udaku afu anaanza kufuatilia habari ya diamond na zari au wema na idrisa au ney...

View Article

Kutafuna Changu nacho ni kipaji....!!

Habari JF? Kuna uzi mmoja humu nimeusaka leo siuoni ili nitoe mrejesho, kifupi ulikuwa na namba nyingiiii za machangudoa wa jijini na nzuri zaidi members waliweka na wajihi wa Changu husika. Hamadi...

View Article


Kwa wanaume tu: Ukitoa hakikisha unadai risiti yako

mara nyingi wanaume wenzangu wemekua wakileta thread wakilalamika humu mara oooh! napigwa sana mizinga! mara tumejuana jana tu leo anataka nimtumie laki mbili, mara ooh! jana tu nimempa 50, leo tena...

View Article


Vijana wa zamani tukutane hapa - old school

Enzi hizo ukienda Rungwe Oceanic Beach Resort ya Mzee Mwakitwange ulikuwa unakuitana na majina kama vile DJ Ngomely, DJ Pop Juice na wengine. Ukiosea jirani na hapo Rungwe, yaani Silver Sands,...

View Article

PC (Personal computer) iliwala mzigo

Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Poleni na majuku ya kulijenga taifa wana jf kama sio watanzania. Nia ya kuleta huu uzi ni kutaka kujua au kuangalia ni kwa jinsi gani computer au pc au laptop...

View Article

Wataalam wanapogeuka Miungu Watu

Kuna kitu nakiona kinaendelea ambacho kisipoangaliwa kinaweza kuleta madhara makubwa. ... Kumekuwa na kikundi cha watu wanaoitwa maspecialist wa magonjwa mbalimbali . ..hiki kikundi cha watu mara...

View Article

NATAMANI KUWA MKULIMA

View Article


Hivi kweli mwisho wa mwezi huu ndo mwisho wa dunia?

Kuna habari nazisoma hapa hata siamini. Eti mwisho wa mwezi huu ndo mwisho wa dunia. Daa roho inaniuma sana maana ndo kwanza nimempata laaziz wangu wa moyo. Sasa hata sijamshughulikia vizuri halafu eti...

View Article

Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi moja, siku moja na wewe

Huu uzi makhususi kwa wana Jamii forums members’ kujuana na mwenzake vizuri. Unacho takiwa kufanya ni kuandika siku yako ya kuzaliwa pamoja na mwezi. Mimi, August 15.

View Article


Ndani ya JF: Hawajawahi kuelewana hawa

Kama ilivo tofauti za kimitazamo na kutoelewana, humu pia hali hizo hujitokeza, kwa kuwa watu ni wale wale na masuala yanayotutofautisa ni yale yale! Zijue baadhi ya ukinzani ama tofauti ama migogoro...

View Article

Aiseee! Nimeamini wanawake wanapenda pesa. Cheki hii kitu kuthibitisha ...

Nimeamini hawa viumbe wanapenda pesa. Kuna mwanamke mmoja anafanya kazi benki hapa dar es salaam kama teller tunatoka mtaa mmoja, ni mzuri sana. Ana mkia na kiuno cha nyigu, sio bonge na mfupi kama 5'2...

View Article


Nakereka sana na huu msemo ''Wanaume wa Dar''

Habari zenu wanajamvi, Mimi kuna msemo unanikera maana unageneralize "wanaume wa Dar". Alafu mbaya zaidi hadi wanaume wenzetu kutoka mikoani wanatusema. Kuna wengine ndo kwetu na wa mkoa wakija ndo...

View Article

Umeshawahi kuisoma story yako JF?

Umeshawahi kuandika uzi kuhusu mtu hapa jf halafu huyo mtu akausoma na kukupigia na kukueleza kwanini umemuandika kwenye jf. Au umeshawahi kuusoma uzi hapa jf maelezo yake ni kama mambo yaliokutokea...

View Article

Mjini msingi kiuno

Eti huu msemo unamaana gani???????????????

View Article
Browsing all 12068 articles
Browse latest View live