Wakuu, nafuata ule msemo kuwa kama una silaha, hata bomu la maangamizi na adui anakusumbua, wewe tumia tu, kwa hiyo ni ujinga kuwa na ulimbo lakini ndege wanakusumbua na wewe unawaangalia.
Sasa naona wanawake wamepanda tena daraja, hasa hawa wa mjini Dar, kuna vigari vyetu hivi kama corolla, vits, etc., naona siku hizi wanaviona kama maguta tu, nani kawafundisha, sijui! Duh, hali ni mbaya.
Mwezi uliopita nilikuwa sehemu mjini kwenye mkutano, sasa ikawa mida ya jioni mkutano umeisha ndio...
Wanawake mnapenda gari za aina gani?