Zamani mtu akiolewa humskii kama week hivi au mwezi ana honey munika. Sikuhizi harusi leo kesho ndio wa kwanza kuamka kabla yako unakutana mapicha Instagram.
Yaani usiku wa honeymoon, saa kumi na moja kesha amka...na ma post yake ...."thank you lord", "mashosti sina cha kuwalipa", "hes besides me now", "my hubby is handsome than yours", "man on top" etc
Hivi kwenye kitchen party ndivyo mnavyofundishwa?
Dada ajifungue sasa, labour katoka saa moja asubuhi saa sita mchana picha ya mtoto ipo...
Tabia za wadada wa Dar