Quantcast
Channel: JF Chit-Chat
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Wakuuu mlio dar njooni KB tabata bima kuna mziki watoto wanacheza wazuri mtasahau shida.

$
0
0
Heshima yenu wakuuuu,Mkitaka kustarehe njooni KB tabata bima wakuuuu unakunywa bia kuna watoto wazuri na vijambio vyao wakuuu nilikuwa nimeacha bia mpaka Jana nimeirudia aiseee nimetembea viwanja vingi kuna Merdian ,Mango garden ,Kwetu pazuri,,Toraka uje na Nk but KB paradise kiboko yao wakuuuuu

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Trending Articles