Crazy Things You Did In Sec School
~ Got chased by the headteacher and deputy head, a whole crowd of us in school uniform where in one area our school had been forbidden to enter by the school otherwise could result in expulsion, only 2...
View ArticleUnderground vs Wakongwe wa JF
Mambo vipi wanangu? Sio siri hapa JF kuna battle ya chini kwa chini kati ya wakongwe(member wa muda mrefu) dhidi ya Underground(member wasio na muda mrefu mfano hawana hata 1 yr hapa jukwaani),Wakongwe...
View ArticleQuotes...
A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man.
View ArticleJ umenipagawisha kwa penzi lako (Nampenda sana huyu senior expert member,...
Wanajamvi kama heading inavojieleza, Katika vitu huwa nakosa tafsiri sawia, ni suala zima la mapenzi yaani kuanguka penzini. Kweli usipofikiwa na hali ya kupenda au kumpenda mtu inakuwa hivi; Mtu...
View ArticleNipeni ustar wa JF
What's up watu wangu wa nguvu? Sio siri kuna member hapa JF washakuwa mastaa yaani wanapendwa au kufuatiliwa thread au comment zao na watu wengi sana hapa jukwaani lakini je wananufaika vipi na ustar...
View ArticleMaajabu ya Joto City !
Niaje wana ? Jiji la Dar es salaam ndio jiji la ukweli na lenye mbwembwe kwa hapa Tanzania .....Pamoja na sifa zote lakini lina vijimambo vyake bwana !!! 1/ Uchafu ndio mwake!! Dsm ndio jiji chafu...
View ArticleMarais wapungua mtaan
Hali ya kuwa na marais wa mitaa mara sjui rais wa kijiji gan mara wa kona street now days wamepngua kama sio kuisha kabisa tangu mh Magu aingie madaraka. Shkamoo mjomba magu.
View ArticleNaombeni majibu
Inakuwaje mtu anatembelea gari ina Chassis Number kwa muda wa miaka miwili?
View ArticleDUBAI mbona pa kawaida mno? Shobo ya nini?
Wadau! kiukweli nilikuwa nasikia sifa za Dubai nikawa natamani kwenda kwa miaka kadhaa nimekuwa nikijpanga /kuweka pesa ya nauli mwezi Februari nikaona ofa ya FLYDUBAI 50% OFF nikakata tiketi ya kwenda...
View ArticleSamahani anayejua teknik mpya ya kuwapa rushwa Matrafiki Dar anisaidie!
Tokea asubuhi napiga tu Simu kwa Washikaji zangu waliopo huko barabarani ili wanipe mpango mzima wa Idadi ya Matrafiki katika njia ambazo nataka nipite nipeleke MKANGAFU wangu ( gari mbovu ) gereji ila...
View ArticleWanawake wa Nairobi noma sana
Kenyan women have a funny way of asking if you are in a relationship...."Unataka Manzi Yako Animwagie maji moto"...Tumewajua sana..
View ArticleNashukuru nimepanda cheo
Salaam, Leo ndani ya JF nimepanda cheo kutoka senior member kuwa jf-expert member [emoji2] [emoji2]
View ArticleLeo nayatoa ya moyoni
Hii inakuhusu wewe member wa jf... Kwanza naomba ukome kua unanitaja kwamba mimi ni mchumba wako aiseeee, na tambua kwamba nimechoshwa na hii hali ya kua ukinitaja kila kukicha na hauishi kunitangaza...
View ArticleUsitake ncheke za Instagram...
Kwako ewe mwenye msongo wa mawazo na wengineo Ushauri nasaha unahitajika kwa awa Binadamu...
View ArticleKaribuni kuchangia
nina swali nataka wataalamu wa mambo watililike hapa.. ni hivi nimefanya kauchunguzi nikagundua wanaume wengi wana mikono milaini sana kama wanawake yani mkishikana mikono unafeel umeshikwa na mbebezi...
View ArticleHuyu nae ni mpenzi hewa
Nilikutana nae facebook sijawahi kumuona hata kwa sura ila tunawasilana watsap na tunapigiana simu wote tupo dar ila kila nikimuomba tuonane ananichenga tatizo kila mara ananiomba pesa tena ana kiwango...
View ArticleYupi zaidi kwa kupiga kibuti kati ya mwanamke na mwanaume?
Hi guys, Nimeona nilete swali hili kwenu wanajamvi. Hivi kati ya wanawake na wanaume ni kina nani wanaongoza kila kukicha kuwaacha wenzi wao? Nimekuwa naona malalamiko mengi hapa ya wanaume kuachwa ila...
View ArticleTOP 10 makapuku tishio JF
Nawatakia jumapili yenye baraka Sio kila siku kuja na list ya wakongwe wkt kuna list nyingi tu....wafuatao ni list ya members wanaokimbiza kimya kimya na wanaokuja kwa kasi hapa JF yaani...
View ArticleHappy birthday to me happy birth day to me
Wakuu, Leo ni birthday yangu Mungu kanijalia nimefikisha miaka 22. Happy birthday to me happy birthday to me happy birthday dear K 4 LIFE happy birthday to me. MAKE A WISH K 4 LIFE
View ArticleTangazo la blue band full raha
Nipo naangalia BBC Swahili, Dira ya Dunia, kipindi ambacho nakipenda sana. Hawa Blue Band nadhani wana mkataba wa tangazo lao na Star Tv, napenda yule mama anavyokiendesha kile kibaiskeli cha bintiye...
View Article