nina swali nataka wataalamu wa mambo watililike hapa.. ni hivi nimefanya kauchunguzi nikagundua wanaume wengi wana mikono milaini sana kama wanawake yani mkishikana mikono unafeel umeshikwa na mbebezi ..nashindwa kuelewa je kwa kua wanaume wa dar au ....
↧