Quantcast
Channel: JF Chit-Chat
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Tangazo la blue band full raha

$
0
0
Nipo naangalia BBC Swahili, Dira ya Dunia, kipindi ambacho nakipenda sana.

Hawa Blue Band nadhani wana mkataba wa tangazo lao na Star Tv, napenda yule mama anavyokiendesha kile kibaiskeli cha bintiye kumuwahishia mkate uliopakwa blueband.

Huwa nawaza wamama wote wangekua shupavu kwa style ya ad ile ingekuwa poa sana. Sichoki kulitazama. Wakenya nawakubali sana kwenye tv ads.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Latest Images

Trending Articles



Latest Images