Hii inakuhusu wewe member wa jf...
Kwanza naomba ukome kua unanitaja kwamba mimi ni mchumba wako aiseeee, na tambua kwamba nimechoshwa na hii hali ya kua ukinitaja kila kukicha na hauishi kunitangaza kila unapoweza kutangaza.
Nakumbuka tulikua wapenzi na ulinihakikishia kwamba umeachana na baba J ambae alikua mumeo wa pili. (hii nilikuja kujua baada ya kua kwenye mahusiano na wewe kwa muda kadhaa)
Ok.
Niliamua kuvumilia kwakua niliona isiwe tabu kwani sikuona madhara kwa wakati huo....
Leo nayatoa ya moyoni