Kuna habari nazisoma hapa hata siamini. Eti mwisho wa mwezi huu ndo mwisho wa dunia.
Daa roho inaniuma sana maana ndo kwanza nimempata laaziz wangu wa moyo. Sasa hata sijamshughulikia vizuri halafu eti ndo mwisho wa dunia jamani.
Hilo tisa kumi ni kwamba nataka ninunue ka usafiri. Sasa jamani kama ni mwisho wa dunia itakuwaje tena. Inamaana itafika hiyo siku hata sija drive gari kabisa.
Eee Mungu tuepushe na hii siku. Amen