Quantcast
Browsing all 12068 articles
Browse latest View live

J umenipagawisha kwa penzi lako (Nampenda sana huyu senior expert member,...

Wanajamvi kama heading inavojieleza, Katika vitu huwa nakosa tafsiri sawia, ni suala zima la mapenzi yaani kuanguka penzini. Kweli usipofikiwa na hali ya kupenda au kumpenda mtu inakuwa hivi; Mtu...

View Article


Makapuku Forum

Habari wana JF Habari Makapuku wenzangu Matumaini yangu wote mko poa kabisa. Uzi huu ni kwaajili ya makapuku wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu...

View Article


Kwa aliyeko Liverpool-UK naomba tutafutane

Hey guys! Natumai mko poa. Naomba kwa aliyeko mitaa ya Liverpool, tujulishane. Ni PM. Thanks.

View Article

Umri wangu sio kigezo cha kuto nitunuku utamu

Nimeanza kufuatilia utamu huu tangu na tangu lakini hadi leo bilabila, kisngizio ni kwamba mie mtoto nitafute waoto wenzangu! Hawa wamama wanasahau kwamba kile sio kiatu kwamba wakitutunuku labda...

View Article

Totoz za supermarket

Long time wakati biashara ya supermarket inaibukia ndani ya jiji la DAR nakumbuka eneo hilo ilikuwa moja ya uwanja wa mawindo.ukienda kununua stuffs wadada wazuri wanakuja kukusaidi kuchagua vitu na...

View Article


Mwenye dada tuongee inbox

Wakuu, Hii njia sio ya kawaida lakini najua ni effective. Mara nyingi wanaume tunakuwa na taarifa sahihi kuhusiana na tabia za wanawake, hasa ni wanawake wa aina gani wanafaa kuolewa, tena mbaya zaidi...

View Article

Kwanini wanaume wengi siku hizi hupenda sana kubeba mafuta ya mgando mifukoni?

Hii Tabia Ilianza Kidogo Sana Ila Kadri Siku Zinavyoenda Sasa Imeota MIZIZI Huku Ikileta Sintofahamu Katika Jamii. Imegundulika Ya Kwamba Wanaume Wengi Sana Siku Hizi Wameanzisha Tabia Ya Kutembea Kama...

View Article

JF kama Group la WhatsApp

Bitoz; Niwachane,nisiwachane ? Underground wote; Wachaneeee... Bitoz; Niwalipue,nisiwalipue ? Makapuku wote; Walipueee Bitoz; Niwachambe,nisiwachambe? Makapuku & underground:wachambeee Invisible...

View Article


Huduma Ya Kwanza; Kitu Unachotakiwa Kufanya Pale Unapokutana/Unapohisi...

Sabakher Wadau; Baada Ya Kukutana Sana Hv Viumbe {Approximately 50} Nimeona Leo Nitoe Huduma Ya Kwanza Pale Unapokutana Au Kuisi Umekutana Na Jini! My Brothers And Sisters There Is No Any Formula/First...

View Article


Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Nakumbuka ilikuwa Mwaka 2008 mwezi Juni nilikuwa naenda kikazi Lusaka, Zambia basi sijui hili wala lile kwenye tiketi iliandikwa saa ya ndege kuondoka mimi nikajipa kama dakika 20 hivi ndo niwe Airport...

View Article

Siri kuhusu Massage salloon zinazoongoza kwa ufuska Bongo yafichuka!

Glenn Beck Final Massage Parlour update for DAR So this marks the end of my mongering for me, which strictly consisted of HJs and BBBJs at MPs. I'm broke and got to break this bad habit. I've seen the...

View Article

Ni movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?

Wapendwa kimtazamo ni movie gani ambayo ilikuvutia sana au ilikukugusa kwa namna moja hadi nyingine Mfano. Kuna bongo movie moja inaitwa vivia ukiangalia unaweza kulia Pia kuna Captain Philips bonge la...

View Article

Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

Kuna siri kubwa sana chini ya majina tunayotumia humu JF pamoja na avatar zetu (wale wanaotumia picha zisio zao). Kwanini uliamua kujiita A na sio B?! Kwanini a jina feki na sio jina harisi?! Nadhani...

View Article


Love and compassion

The prophet’s mercy to animals, Even the bird found a place in his heart The prophet’s heart would be shaken to its very foundations if he saw a distressed bird that lost its babies. A wounded animal,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Happy Birthday Jimena !

Hello everyone ! Leo April 08 ni siku muhimu kwa rafiki yangu kipenzi hapa Jf aitwaye Jimena , Naomba tujumuike pamoja kumtakia heri ya kuzaliwa dada yetu huyu...... Napendelea sana ule msemo wake wa...

View Article


Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Inakuwaje wanaume wa Dar tunatembe kimdebwedo kiasi hichi? Biblia yangu inasema tumeumbwa kwa mfano wa Mungu, siamini hata kidogo Mungu anatembea kivivu namna hii (walking aimlessly) wengine hujui kama...

View Article

Manesi huwa wanatega watu

hv kwa nn manes wengi huwa na maumbo tata kabisa au ni zile nguo zao? nipo kcmc apa yaani kila nes anayepita aniniweka kwenye wakati mgumu sana Wana maumbo ya kichokozi sana hivi hii inakuwaje wadau...

View Article


Wanaume wa mikoani jiheshimuni,,, ACHENI kabisa masihara na wanaume wa Dar

Hii tabia ya majungu sijui kwanini inakua kwa kasi humu ndani.. Haiwezekan nyie wa mkoa muendelee kutushikia bango kila siku.. ACHENI ushamba za kiniwapi hizo mnaleta yaani hamuogopi kutuaibisha...

View Article

Hatimaye naenda nchi za nje, nimechoka kurushwa roho

Of koz asilimia kubwa ya watanzania hawajawahi kutoka nje ya nchi hii....Tukiachilia mbali wale wa mikoani ambao hata kukanyaga mjini (dar) hawajawahi kwa hasira wakaamua kutusema wanaume wa dar.......

View Article

Member wa JamiiForums unayemkubali zaidi

Japo hatuonani kwa sura na wengi wetu wanatumia username feki lakini JamiiForums inatukutanisha kimawazo. Ni forum ambayo haikosi kitu utakasirika,utacheka,utafurahi n.k Lakini wapo members fulani...

View Article
Browsing all 12068 articles
Browse latest View live