Quantcast
Channel: JF Chit-Chat
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Mwenye dada tuongee inbox

$
0
0
Wakuu,

Hii njia sio ya kawaida lakini najua ni effective. Mara nyingi wanaume tunakuwa na taarifa sahihi kuhusiana na tabia za wanawake, hasa ni wanawake wa aina gani wanafaa kuolewa, tena mbaya zaidi hata kama mwanaume amepinda vipi anajua mwanamke anayefaa na asiyefaa.

Kwa muktadha huo, naomba jamaa aliyepo humu, mwenye dada yake swafi kabisa, ambaye anajua anafaa kuwa mke ila sijui inakuwaje haolewi au ndio amefikia umri wa kuolewa, niongee naye kikubwa anipe mawasiliano ya dada yake....

Mwenye dada tuongee inbox

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Trending Articles