Quantcast
Channel: JF Chit-Chat
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Wanaume wa mikoani jiheshimuni,,, ACHENI kabisa masihara na wanaume wa Dar

$
0
0
Hii tabia ya majungu sijui kwanini inakua kwa kasi humu ndani.. Haiwezekan nyie wa mkoa muendelee kutushikia bango kila siku.. ACHENI ushamba za kiniwapi hizo mnaleta yaani hamuogopi kutuaibisha wanaume wa Dar na tuko wengi... Kuna thread mbili nimeiona eti hao wanaojinasibu kuwa sio wanaume wa Dar wanatuponda.. ACHENI utani huo nyie mwanaume wa Dar ndo kielelezo tosha cha mtanzania
Hii tabia ife ya kuwaona wanaume wa Dar na wana matatizo.. Wengine Wanasema eti si ni majipu...
Ebu...

Wanaume wa mikoani jiheshimuni,,, ACHENI kabisa masihara na wanaume wa Dar

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Trending Articles