Quantcast
Channel: JF Chit-Chat
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

$
0
0
Kuna siri kubwa sana chini ya majina tunayotumia humu JF pamoja na avatar zetu (wale wanaotumia picha zisio zao).

Kwanini uliamua kujiita A na sio B?!
Kwanini a jina feki na sio jina harisi?!

Nadhani nianze na mimi mwenyewe, sizzya007 ni jina modified kidogo, hapo zamani nilikuwa natumia sizya007 humu jf ila nilipobadili device nikawa nimesahau password ikanibidi nifungue acc mpya na kutumia sizzya007, jina hili linatokana na mizuka na mahaba mazito ambayo nilikuwa nayo kwa movie za James...

Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Trending Articles