Siku ya Kwanza Kuongea Kiingereza mbele ya Kadamnasi kidogo nizimie
Wandugu kama mjuavyo wengi wetu tumesoma shule za st. Kayumba kwa hiyo Ngeli ni ishu kwetu. Basi kwa kuunga unga hivyo hivyo nikachaguliwa Chuo (UDSM) sasa kufika huko si ndo mambo ya Seminar za DS 101...
View ArticleMwanayumba...
MWANAYUMBA (Inspired by Chege’s song – Mwanayumba) Ilikuwa mwaka 2002 Desemba. Nilikuwa kidato cha Sita katika shule moja ya kutwa huko Moshi mkoani Kilimanjaro. Nakumbuka tulivyokutana...nakumbuka...
View ArticleHii inawahusu wanawake wote
........Wanawake waache FUJO na ubinafsi , wanaume wametuita MABUZI kwa zaidi ya miaka 12 sasa wao kuitwa CHURA mwezi mmoja tu imekua nongwa. Wanataka kutufunga istoshe chura wameanzisha wao...
View ArticleKwa hili la mwendo kasi, imekuwa full burudani na karaha!!
Baada ya magari ya mwendo kasi kuanza safari zake jijini Dar es salaam, hivi sasa kumeibuka wimbi la picha mbalimbali katika mitandao ya kijamii zikionyesha vitu kama wanyama, watu, cartoon n.k katika...
View ArticleNaomba kuwafahamu Ten (10) first members of JF
Out of curiosity, ningependa kuwafahamu membaz kumi wa mwanzo wa Jf. Hawa ni ma legends, though labda ma admins ni rafiki zao, but ningependa kujua the first time Jf was online, watu kumi wa mwanzo...
View ArticleNimeacha usister niolewe na mwanajamiii yoyote
Naja kwenu wanajamiimnipokeeee mimi mjakazi wenuchini ya miguu yenu mimi nalianiwekeeni mikono yenumnibariki
View ArticleLive Streaming: Mtongozano Kiutu uzima
Wana Chit Chat!!! Huu uzi unawekwa hapa kwa malengo mazuri tu kama vile; 1.Kuepusha kuharibu nyuzi nyingine!! Inatokea mara nyingi sana hapa jukwaani, mistari inashushwa sehemu yoyote ile so kunakuwa...
View ArticleUnderground vs Wakongwe wa JF
Mambo vipi wanangu? Sio siri hapa JF kuna battle ya chini kwa chini kati ya wakongwe(member wa muda mrefu) dhidi ya Underground(member wasio na muda mrefu mfano hawana hata 1 yr hapa jukwaani),Wakongwe...
View ArticleUchepukaji wanitokea puani
Wakuu Wasalaam. Mimi Kirchhoff ni MUME wa Mwanamke Mpole sana na Mnyenyekevu mwenye asilimia 99% za kuwa MKE MWEMA. Nimetenda dhambi baada ya kupa mwili nafasi utawale roho. Nimelelewa katika maadili...
View ArticleJamani leo nimekamatika na umbea umenishinda naombeni msaada!
Kule kote ambako huwa napata TAARIFA zangu NYETI na za NGUVU naona tokea niamke Mabeki wameziba njia zote nikimaanisha WAMENICHUNIA halafu na bahati mbaya sana kule ambako huwa nikipita tu naona UMBEA...
View ArticleNakereka sana na huu msemo ''Wanaume wa Dar''
Habari zenu wanajamvi, Mimi kuna msemo unanikera maana unageneralize "wanaume wa Dar". Alafu mbaya zaidi hadi wanaume wenzetu kutoka mikoani wanatusema. Kuna wengine ndo kwetu na wa mkoa wakija ndo...
View ArticleTop 5 Forums za JamiiForums
Habari wana Jamii Forums....Leo ningependa kujua interest za wenzangu humu JF..Obviously JF kuna Forums mbalimbali kutokana na aspects mbalimbali za maisha na interests tofauti za watu...Naomba kila...
View ArticleUnakumbuka nini
Nakumbuka kipindi najiunga kwenye Facebook na eskimi mara ya kwanza mwaka 2009, nilikua natongoza kila mwanamke na nilifanya sana sex chart enzi hizo. Vp wewe rafiki ilikuaje kipindi icho?
View ArticleNilipotea Nimerudi
Ni zaidi ya miaka miwili nilikuwa sijaingia humu... sasa nimerudi naona wajukuu wengi sana na ukubwa umesogea flan amazing.... HODI am back. Missed you sana hasa jukwaa hili
View ArticleWadada kumbe ndo zenu?
Unaalika dame date halafu kinakam na maringo,ety oooh!,"...babe hata Sitakula nikitoka home nilipitia CHICKEN POINT nikakula kuku..." We na ugentleman wako unambuyia whiskey ya 3k,,afta kuchapa sip...
View ArticleMwanza vs Arusha. Wapi pazuri??
Nataka nikaanze maisha mapya moja kati ya sehemu hzo mbili.Uzuri niusemao mazingira,kuendelea kiuchumi,afya nk
View Article