MWANAYUMBA (Inspired by Chege’s song – Mwanayumba)
Ilikuwa mwaka 2002 Desemba.
Nilikuwa kidato cha Sita katika shule moja ya kutwa huko Moshi mkoani Kilimanjaro. Nakumbuka tulivyokutana...nakumbuka kama ilikuwa jana.
Nakumbuka baba akiniambia nijiandae kumpeleka mdogo wangu hospitali KCMC kwa ajili ya kliniki ya ngozi. Ilikuwa ni siku yake ya kliniki. Kitengo hicho cha ngozi ndiyo kwanza kilikuwa kimeanzishwa na kilianza kuchukua umaarufu mkubwa hasa kwa wagonjwa waliokuwa...
Mwanayumba...