Mambo vipi wanangu?
Sio siri hapa JF kuna battle ya chini kwa chini kati ya wakongwe(member wa muda mrefu) dhidi ya Underground(member wasio na muda mrefu mfano hawana hata 1 yr hapa jukwaani),Wakongwe wanataka kubaki juu, huku underground wakitaka kutoka na kuwafunika wakongwe! Ni full raha....
1/Jukwaa la "Polifix"
Hili linajumuisha General forum na majukwaa yake kama vile Jukwaa la siasa n.k..Huku wakongwe wanaendelea kutamba na kila underground anayejaribu kuliteka Jukwaa anakula za...
Underground vs Wakongwe wa JF