Mwanza JF users: Tuunde umoja/utambuzi wetu
Wakuu kabisa, Heshima mbele. Napenda kutoa hoja. Kwamba, kwa ongezeko la members wa JF jijini Mwanza (Rock City), ningependekeza uwepo mjumuiko wa kuipaisha na kuunda umoja wa JF hapa jijini yaani (JF...
View Article#Shida yote hii inasababishwa na
Twende na trend.... Shida yote hii inasababishwa na uhaba wa sukari . Endelea.
View ArticleLara 1 ni mke mwema
Ukitaka kuoa, basi oa mwanamke mjuaji Kama Lara 1. Wanawake dizaini ya Lara 1 wanaogopeka sana na wanaume kwa kuwa wanaongea sana, ni wajuaji sana, lakini nakuhakikishia kabisa kuwa ukidaka mwanamke...
View ArticleNimekimbizwa na nyoka aina ya Koboko
Wakuu jana jioni nilipokua narejea home gafla nilikutana na nyoka Koboko kafura katikati ya njia uku kapanua kichwa kimekua kipana kama upawa. Ghafla akanitokea nduki anakimbia mbaya mbovu uwezi amini...
View ArticleShirima alikufa akiwa amelewa sana
Mchaga baada ya kufa akaulizwa na malaika anayetoa roho: Mangi hapa ni njiapanda kulia ni Mbinguni na kushoto ni Jehanamu, Je unachagua kwenda wapi? MANGI: Bwashee, mi nabaki hapa hapa njiapanda aisee....
View ArticleMama wa kichaga anaeongea kama dogo janja
Lafudhi ya Dogo janja inaongelewa na kila rika kule Arusha, huyu ni Mama wa Kichaga anaongea kama dogo Janja. Rafudhi Hii Inawavutia Wengi Sana Nchini Tanzania.
View ArticleWataalam wa hesabu swali hili
Nini matumizi ya mistali sambamba na sulubi katika maisha ya mwanadamu?
View ArticleViroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)
Nakumbuka ilikuwa Mwaka 2008 mwezi Juni nilikuwa naenda kikazi Lusaka, Zambia basi sijui hili wala lile kwenye tiketi iliandikwa saa ya ndege kuondoka saa 12 asubuhi (ndege ndo inapaa) mimi nikajipa...
View ArticleQuotes...
A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man.
View ArticleJiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi moja, siku moja na wewe
Huu uzi makhususi kwa wana Jamii forums membersÂ’ kujuana na mwenzake vizuri. Unacho takiwa kufanya ni kuandika siku yako ya kuzaliwa pamoja na mwezi. Mimi, August 15.
View ArticleCheka uongeze siku za kuishi
Jamaa alikuwa bonge aliona tangazo limeandikwa : "Punguza kilo 5 kwa wiki" Akawapigia simu na kuomba kujiunga, Binti:Sawa uwe tayari hapa ofisini kwetu kesho saa 12 za Asubuhi.. Siku ya pili akenda na...
View ArticleNapenda Mke Wangu Atoke Zanzibar
>> Ni Sifa Zipi Nazotakiwa Kuwa Nazo Ili Nipate Mke Toka Zanzbar.... Sambamba na Hilo Hebu Nionjesheni Sifa Zao Kulingana na Sehemu au Jamii Watokayo, Japo Najua Chache. >> Pia, Naomba...
View ArticleLeo nimekutana tena na classmate na jirani yetu nyumbani nilikozaliwa, ni...
Dah! Kuna dada ni jirani yetu home nilikozaliwa. Wazazi wake walifariki so alilelewa na bibi. Huyu dada nilisoma naye O level, alikuwaga wa kwanza class siku zote. Baadaye ikawa ikitokea mkakutana na...
View ArticleNi movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?
Wapendwa kimtazamo ni movie gani ambayo ilikuvutia sana au ilikukugusa kwa namna moja hadi nyingine Mfano. Kuna bongo movie moja inaitwa vivia ukiangalia unaweza kulia Pia kuna Captain Philips bonge la...
View ArticleRebeca Gyumi unaninyima usingizi
Acha tu niseme jamani..huyu Dada kwa kweli moyo wangu unamsumbukia sana. Nimefaiti kukutana naye lakini mpaka sasa sijafanikiwa..Rebecca naomba ujue kuwa Mimi nakosa usingizi kwa ajili yako. Huko uliko...
View ArticleNilikuwa nasikia tu kwa wengine, leo yamenikuta
Kwanza nianze kwa kuwasalimu ndugu zangu,na kuwashukuru kwa namna tunavyoshauriana katika mambo mbali mbali yanayogusa maisha yetu ya kila siku. Kwanza naomba nisimulie kidogo historia fupi ya...
View ArticleMaajabu ya Joto City !
Niaje wana ? Jiji la Dar es salaam ndio jiji la ukweli na lenye mbwembwe kwa hapa Tanzania .....Pamoja na sifa zote lakini lina vijimambo vyake bwana !!! 1/ Uchafu ndio mwake!! Dsm ndio jiji chafu...
View ArticleTunatongozwa bila vinywaji
Sasa hivi tunatongozwa bila vinywaji!;;;;;; akikuona atakuomba namba!;;;; akifik yumbani kwake anachukua cm anaanza kukutumia vi emoji vya cm; chupi na brazia; atakuuliza nije lini; mkikutana unaona...
View Article