Wanaume kuitwa "Buzi" ni sawa lakini wanawake kuitwa "Chura" nomaaa.
Wa humu habari zenu!!! Binafsi nazidi kushangazwa sana na hizi haki hasa kwa akina mama. Licha ya wanaume kuitwa mabuzu kwa miaka mingi sana haijatokea hata mara moja kauli hiyo kupigwa marufuku.Mambo...
View ArticleKwanini Mbuzi tu?
Mbuzi ni mnyama ambaye amekuwa akifugwa na binadamu tangu enzi na enzi. Kumekuwa na misemo mingi ya Kiswahili ambayo inayohusisha mbuzi either kuna sababu maalumu au labda imetokea 'coincidence' baadhi...
View ArticleMaajabu ya Joto City !
Niaje wana ? Jiji la Dar es salaam ndio jiji la ukweli na lenye mbwembwe kwa hapa Tanzania .....Pamoja na sifa zote lakini lina vijimambo vyake bwana !!! 1/ Uchafu ndio mwake!! Dsm ndio jiji chafu...
View ArticleHaka kaugonjwa??
Wakuu msaada kuna katatizo kamenipata mwanzo wa wiki hii kuanzia jmosi yani najing'ata ng'ata kwenye ulimi kwa siku mpaka Mara tano daah yani mpaka sina raha wakuu najua humu kuna wataalamu kejeli...
View ArticleSiku ya Kwanza Kuongea Kiingereza mbele ya Kadamnasi kidogo nizimie
Wandugu kama mjuavyo wengi wetu tumesoma shule za st. Kayumba kwa hiyo Ngeli ni ishu kwetu. Basi kwa kuunga unga hivyo hivyo nikachaguliwa Chuo (UDSM) sasa kufika huko si ndo mambo ya Seminar za DS 101...
View ArticleNimeumbwa niwe single?
Nishory ndefu in short Wakuu heshima kwenu, Nina umri wa miaka 23 kwa kweli kuna mambo yananichanganya sana mpaka najiona sina bahati ya binti wa kujenga nae maisha,nilikuwa na mchumba ambae nilimpenda...
View ArticleChimbuko la Panya road & Vigodoro !!
Kwema mazee? Kama hujawahi kutembelea sehemu za uswahilini hasa mitaa ya Mabibo,Manzese na Kigogo jijini Dsm basi umepitwa na mambo mengi ya kufurahisha maishani! Ni sehemu zenye visa,vituko na mikasa...
View ArticleKwanini wanawake wa mikoani hutamani kuolewa na wanaume wa Dar
Wakuu wanaume wa Dar tumeshambuliwa sana humu mjengoni kufikia hatua ya kuambiwa sisi ni waoga, tuna upungufu wa nguvu, legelege na majina mengi mengi tu ambayo watoto wa wakulima wa huko mikoani...
View ArticleNatafuta ile katuni "jamaa kapanda punda
Hakuja haja ya salam, natafuta ile katuni "jamaa kapanda punda,watu wakasema anamuumiza punda,aliposhuka wakasema jamaa bwege anatembea kwa miguu ilhali anapunda......."mwenye nayo tafadhali aniwekee hapa
View ArticleSababu ya kujiita Mtoto Wabibi
Kihistoria mimi ni mtoto pekee kwa mama yangu yani wa kwanza na wa mwisho ( kitinda mimba na kifunga mimba). Mama alifariki nikiwa na umri wa miaka 2 na miezi 7 hivi.Lakini mapema baada ya kuacha...
View ArticleHuyu dada simwelewi kabisa..!
Kuna mdada mmoja tuliwahi kuwa wapenzi kwa kipindi kifupi sana. Siku moja tukapishana kiswahili akajifanya kuzila akawa hapokei simu zangu. Nilimbembeleza sana lakini akawa mugumu sana kunielewa....
View ArticleWatu wa Dar na kingereza cha hapa na pale
Hulka ya kuongea kiswanglish Dar inakua kwa kasi sana,mbaya zaidi ni pale mtu anataka kubwabwaja katika suala la kitalamu zaidi. Wadada nao ndo komesha utasikia,u know...,i was like kwamba..,yani kero...
View ArticleNakereka sana na huu msemo ''Wanaume wa Dar''
Habari zenu wanajamvi, Mimi kuna msemo unanikera maana unageneralize "wanaume wa Dar". Alafu mbaya zaidi hadi wanaume wenzetu kutoka mikoani wanatusema. Kuna wengine ndo kwetu na wa mkoa wakija ndo...
View ArticleSWALI: Hivi nikweli Rais Mugabe ndiyo anayetoa hii misemo inayosambaa...
Kuna misemo inasaambaa whatsappk kila siku, ikisisisitiza kuwa ni wise quote from Mugabe? Mimi binafsi napatwa na mashaka na hiyo misemo kama ni kweli inatoka kwa huyo mzee. Je wenzangu mnaweza saidia...
View ArticleHivi ni kweli njia hii ndo suluhisho?
Ndugu zangu nimepata kuona na kusikia kwa watu wengi siku hii eti njia(Kupanda minarani na kutishia kujitupa)ya kudai stahiki zao ni kwa kupitia njia hii ya mkato ili kupata chako mapema. Sasa...
View ArticleNaomba msaada kwenye hili tangazo la TiGo....!!!
Wakuu, Hili tangazo la tigo ambalo ameigiza joti na Natasha nimeshindwa kabisa kupata logic yake, mara joti kapigiwa simu na Mke wake ambaye ni Natasha yuko ndani anamwuuliza nani ni no.1 wake af then...
View ArticleFix za town
Mpo poa masela ? Ziro Matamaa ni mshikaji wetu anayekaa mtaa wa Uchafu, ni mtaa unaopatikana pande za mabondeni. Jamaa ni msela mwenye mbwembwe na mikogo kibao. Huwa anakuja kupiga stori kwenye kijiwe...
View ArticleSWALI: Hivi ni kweli Rais Mugabe ndiyo anayetoa hii misemo inayosambaa...
Kuna misemo inasaambaa whatsappk kila siku, ikisisisitiza kuwa ni wise quote from Mugabe? Mimi binafsi napatwa na mashaka na hiyo misemo kama ni kweli inatoka kwa huyo mzee. Je wenzangu mnaweza saidia...
View Article