Ndugu zangu nimepata kuona na kusikia kwa watu wengi siku hii eti njia(Kupanda minarani na kutishia kujitupa)ya kudai stahiki zao ni kwa kupitia njia hii ya mkato ili kupata chako mapema.
Sasa najiuliza hivi hapo unadai na ungependa kupewa na kufaidi stahiki zako ama kuacha Ndugu zako wakiendelea kudaiwa coz watu ambao walikuja kula chakula chako siku umekufa ndo familia waendelee kuuza mali zao coz wewe ulikuwa unadai 1laki na wanadaiwa 4laki?
Je ni kweli wanaodai kwa njia hii...
Hivi ni kweli njia hii ndo suluhisho?