Tajiri mkubwa duniani atokaye china alisema maneno haya kwa vijana
video fupi ya ushauri wa ALIBABA
View ArticleMhhh.....macho hayana pazia
Habari wakuu. Bahati mbaya kuna kabinti kadogo dogo kalikuwa kamekaa karibu na mimi leo kameshika simu kuubwa kanachati na njemba mmoja kwa kuelekeza simu kwenye macho yangu ambapo hakukua na jinsi ya...
View ArticleUnakumbuka nini
Nakumbuka kipindi najiunga kwenye Facebook na eskimi mara ya kwanza mwaka 2009, nilikua natongoza kila mwanamke na nilifanya sana sex chart enzi hizo. Vp wewe rafiki ilikuaje kipindi icho?
View ArticleNakereka sana na huu msemo ''Wanaume wa Dar''
Habari zenu wanajamvi, Mimi kuna msemo unanikera maana unageneralize "wanaume wa Dar". Alafu mbaya zaidi hadi wanaume wenzetu kutoka mikoani wanatusema. Kuna wengine ndo kwetu na wa mkoa wakija ndo...
View ArticleSwali hili anamaanisha kweli?
Nlisoma na binti flan shule moja yasekondar.nlikuwa namzidi kidato.juzijuzi nimpata whatsap. Tulichat sana.mwisho nlimuuliza kama kaolewa .jibu lilikuwa hapana likifuatiwa na swali lingine "je ulitaka...
View ArticleLara 1 ni mke mwema
Ukitaka kuoa, basi oa mwanamke mjuaji Kama Lara 1. Wanawake dizaini ya Lara 1 wanaogopeka sana na wanaume kwa kuwa wanaongea sana, ni wajuaji sana, lakini nakuhakikishia kabisa kuwa ukidaka mwanamke...
View ArticleRebeca Gyumi unaninyima usingizi
Acha tu niseme jamani..huyu Dada kwa kweli moyo wangu unamsumbukia sana. Nimefaiti kukutana naye lakini mpaka sasa sijafanikiwa..Rebecca naomba ujue kuwa Mimi nakosa usingizi kwa ajili yako. Huko uliko...
View ArticleDawa za kuongeza urefu wa mwili
Jamani naombeni mnisaidie mahala ninapo weza kupata hizi dawa zinazoweza kumuongezea mwanadamu urefu kama kuna yeyote anae fahamu naomba anijuze
View ArticleNini na nani yuko nyuma ya mshana jr?
Huyu Jamaa anayejiita mshana humu ndani amekuwa akitumia muda mwingi kuandika na kujibu comment za watu kuhusu mambo ya uganga, uchawi , ushetani na mambo ya kuzimu. Maswali yangu ni haya: 1.Nani...
View ArticleWarembo 16 wa Tanzania wenye mvuto wa hali ya juu.
1:Gyver Meena View attachment 350958 2:Belina Mgeni View attachment 350959 3:Nelly Kamwelu View attachment 350961 4:Jacqueline Patrick View attachment 350963 5:Nancy Sumary Most Beautiful And Sexiest...
View ArticleTop 5 Forums za JamiiForums
Habari wana Jamii Forums....Leo ningependa kujua interest za wenzangu humu JF..Obviously JF kuna Forums mbalimbali kutokana na aspects mbalimbali za maisha na interests tofauti za watu...Naomba kila...
View ArticleNaomba msaada kwenye hili tangazo la TiGo....!!!
Wakuu, Hili tangazo la tigo ambalo ameigiza joti na Natasha nimeshindwa kabisa kupata logic yake, mara joti kapigiwa simu na Mke wake ambaye ni Natasha yuko ndani anamwuuliza nani ni no.1 wake af then...
View ArticleWatoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu...
Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu unaweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo: 1. Unalia sababu umechapwa, utachapwa tena 2. Umechapwa ukulia utachapwa tena 3. Ukijililia tu bila kupigwa,...
View ArticleUtambulisho wa Mahusiano kwa member wote wa JamiiForums
Habari za wakati huu wapendwa wa Jamii Forums ningependa tutambulishane tuko katika mahusiano gani na tuna watoto wangapi ili kuondoa utata kwa wale wanaovamiana PM na kukurupukia wake au waume za watu...
View ArticleAvatar inayokufurahisha zaidi..
Wakuu wangu nawasalimia, Ni avatar ipi ya mwana JF inakufurahisha zaidi?Aidha unacheka,unatabasamu,unaipenda au inakufanya umtafakari huyu mwenye hiyo avatar?Mimi kuna avatar huwa nikiziangalia huwa...
View ArticleHivi ni kwanini siku hizi watu hawapigani mitaani kama miaka ya 1980s?
Nakumbuka miaka ya 80-90 ilikuwa jambo la kawaida kukuta jamaa wanapigana mitaani halafu watu wanashangilia sana. Yaani ukiwa mtemi au gangwe basi unaonekana wa maana sana. Hata baadhi ya disco ilikuwa...
View ArticleShairi kusindikiza utenguzi wa Kitwanga kutokana na ulevi
Mh. Kitwanga amekuwa habari kubwa tangu uncle Magu atengue uteuzi wake!, kishindo cha utenguzi huo kimepelekea tasnia ya sanaa kutoa wimbo maalumu kusindikiza habari hii ambayo tunategemea kuisahau...
View ArticleMafuta ya taa kwenye chakula
Habari Je kuna ukweli wowote kua Mafuta ya taa yanapunguza mhemko? Nakumbuka shuleni kuna wakati chakula kilikua kinawekwa Mafuta ya taa mara kwa mara ,wanafunzi wanadai wanatucontrol.
View ArticleWanaume wa Daslam
Habari zenu. Katika siku hizi za usoni karibia kila Kona utakutana na sentensi "wanaume wa Daslam" [emoji33] Jiji la daslam ambalo vijana wengi wanatamani wangezaliwa au hata kuzamia daslam tumekuwa...
View Article