Wakuu msaada kuna katatizo kamenipata mwanzo wa wiki hii kuanzia jmosi yani najing'ata ng'ata kwenye ulimi kwa siku mpaka Mara tano daah yani mpaka sina raha wakuu najua humu kuna wataalamu kejeli matusi mnakaribishwa maana ntakua nimepata kipoint
↧