Quantcast
Channel: JF Chit-Chat
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

SWALI: Hivi ni kweli Rais Mugabe ndiyo anayetoa hii misemo inayosambaa WhatsApp kila siku?

$
0
0
Kuna misemo inasaambaa whatsappk kila siku, ikisisisitiza kuwa ni wise quote from Mugabe? Mimi binafsi napatwa na mashaka na hiyo misemo kama ni kweli inatoka kwa huyo mzee.

Je wenzangu mnaweza saidia kunielimisha kama ni kweli au si kweli?
Wanaotumia Whatsapp watakuwa wamefahamu hiyo misemo.
Msaada tafadhari.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Trending Articles