Quantcast
Channel: JF Chit-Chat
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Shirima alikufa akiwa amelewa sana

$
0
0
Mchaga baada ya kufa akaulizwa na malaika anayetoa roho:
Mangi hapa ni njiapanda kulia ni Mbinguni na kushoto ni Jehanamu,
Je unachagua kwenda wapi?
MANGI: Bwashee, mi nabaki hapa hapa njiapanda aisee.
MALAIKA: Kwa nini?
MANGI: Aisee, nikifungua duka hapa si nitapata wateja wa Mbinguni na Jehanam. Yani patakuwa senta ya hatari, supu na nyama choma muda wote.
Hata we utafaidi, unavyoenda kuchukua roho unaniletea stock nakupa hela yako cash mkononi. Na kila ukipita hapa unapiga mchemsho wako...

Shirima alikufa akiwa amelewa sana

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Trending Articles