Wakuu kabisa,
Heshima mbele.
Napenda kutoa hoja. Kwamba, kwa ongezeko la members wa JF jijini Mwanza (Rock City), ningependekeza uwepo mjumuiko wa kuipaisha na kuunda umoja wa JF hapa jijini yaani (JF Mwanza wing) au (JF Rock City wing).
Kwa kuwa ongezeko hili la wadau linazidi kukua, kwa kuwa JF inazidi kupata umaarufu katika tasnia ya kupashana habari motomoto zisizolala, kwa kuwa kundi kubwa la jamii yenye uelewa na usomi kujivinjari na JF kila kukicha, na kwa kuwa jiji la Mwanza ni...
Mwanza JF users: Tuunde umoja/utambuzi wetu