Unaalika dame date halafu kinakam na maringo,ety oooh!,"...babe hata
Sitakula nikitoka home nilipitia CHICKEN POINT
nikakula kuku..."
We na ugentleman wako unambuyia whiskey ya 3k,,afta kuchapa sip mbili anatapika MAPERA➕GITHERI na MAHINDI CHOMA walai... sa
hapo ndio inabidi umemuuliza
viuromantic"...swry!uko sure ulikula kuku ama ulikula chakula ya kuku?.."