Baada ya magari ya mwendo kasi kuanza safari zake jijini Dar es salaam, hivi sasa kumeibuka wimbi la picha mbalimbali katika mitandao ya kijamii zikionyesha vitu kama wanyama, watu, cartoon n.k katika mionekano mbalimbali na kupewa jina "....mwendo kasi"hali hii imepelekea baadhi ya watu kufurahia na wengine kuona ni karaha kwao!
...
Kwa hili la mwendo kasi, imekuwa full burudani na karaha!!
![[IMG]](http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/324a2920ddbdf6d2e7327edc0acce305.jpg)
Kwa hili la mwendo kasi, imekuwa full burudani na karaha!!