Happy Birthday Ladyfurahia
​Dear ladyfurahia, Each year your birthday reminds me that I really want to say am very glad that I know you. A friend like you is a gift from God and hard to find. I hope you enjoy your birthday and...
View ArticleIngekuwa vipi?
Bro alitaka kumuoa mpenzi wangu pasipo kujua ... ingekuwa pivi kama angemuoa? Wamama wa humu natamani avatar zao ... ingekuwa vipi kama ningewaona?
View ArticleNaweza kuwa nina mimba?
Hbr za Leo wadau! Nakia kichefuchefu, kizunguzungu, hasira, na udhaifu wa mwili. Kwa dalili hizo ninaweza kuwa nimeshika mimba? Simpendi mume wangu hata akinipigia simu nasikia hasira sipokei simu yake...
View ArticleHivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?
Nimekuwa humu kwa kipindi kidogo lakini hili la kuitana 'Mkuu' limekuja tu. Sijui kwanini wakuu?
View ArticleKwa wanaofahamu tu
WASH'KAJI EEEEEEEH! NAULIZA KWA NIA NJEMA TU! HIVI HAWA WANA WA M'LE KWENYE 'VENYU' M'LE, YAANI HUYU KAKA'ETU "Wa kubadilisha sanamu ya askari" NA HUYU DADA'ETU "Wa Kuwa na uchungu hadi kutamani kulia"...
View ArticleHappy Birthday Jimena !
Hello everyone ! Leo April 08 ni siku muhimu kwa rafiki yangu kipenzi hapa Jf aitwaye Jimena , Naomba tujumuike pamoja kumtakia heri ya kuzaliwa dada yetu huyu...... Napendelea sana ule msemo wake wa...
View ArticleWho is a man?
Read this: If you are a man remember who you are! If you are a woman [emoji184] Respect every male in your life. U will never know what he has sacrificed 4U. [emoji779]A man is the most beautiful part...
View ArticleNimeumbwa niwe single?
Nishory ndefu in short Wakuu heshima kwenu, Nina umri wa miaka 23 kwa kweli kuna mambo yananichanganya sana mpaka najiona sina bahati ya binti wa kujenga nae maisha,nilikuwa na mchumba ambae nilimpenda...
View ArticleHappy birthday @ladyfurahia
On this special day, i wish you all the very best, all the joy you can ever have and may you be blessed abundantly today, tomorrow and the days to come! May you have a fantastic birthday and many more...
View ArticleWanaume wengi wa kibongo hatuna ujasiri wa kutongoza wanawake face-to-face.
Kuna utafiti nimeufanya,nimegundua wanaume weng wa kibongo hasa wa kizazi hiki cha kisasa hatuna ujasiri wa kutongoza wanawake ana kwa ana,unakuta mtu ni mko nae ofisi moja au darasa moja,lakini cha...
View ArticleUtambulisho wa Mahusiano kwa member wote wa Jamii Forums
Habari za wakati huu wapendwa wa Jamii Forums ningependa tutambulishane tuko katika mahusiano gani na tuna watoto wangapi ili kuondoa utata kwa wale wanaovamiana PM na kukurupukia wake au waume za watu...
View ArticleKweli huu mchezo hauhitaji hasira
Kuna tabia ambayo wadada wengi wamekuwa nayo mda mrefu yaani mwanaume ukiwa huna hela halafu una umri mdogo unaonekana dogo na uwezi kuruka sarakasi zetu zile, ila ukiwa na hela bana unaonekana mtu...
View ArticleWapenzi wengine waongo sana mweee
mshana jr Hivi ushawahi kuwa na mpenzi muongo mpaka akikwambia usiku mwema unatoka nje kuangalia kama ni usiku kweli? Arushaone
View ArticleHivi kweli mwisho wa mwezi huu ndo mwisho wa dunia?
Kuna habari nazisoma hapa hata siamini. Eti mwisho wa mwezi huu ndo mwisho wa dunia. Daa roho inaniuma sana maana ndo kwanza nimempata laaziz wangu wa moyo. Sasa hata sijamshughulikia vizuri halafu eti...
View Article#Shida yote hii inasababishwa na
Twende na trend.... Shida yote hii inasababishwa na uhaba wa sukari . Endelea.
View ArticleLive Streaming: Mtongozano Kiutu uzima
Wana Chit Chat!!! Huu uzi unawekwa hapa kwa malengo mazuri tu kama vile; 1.Kuepusha kuharibu nyuzi nyingine!! Inatokea mara nyingi sana hapa jukwaani, mistari inashushwa sehemu yoyote ile so kunakuwa...
View Article