Nimekimbizwa na nyoka aina ya Koboko
Wakuu jana jioni nilipokua narejea home gafla nilikutana na nyoka Koboko kafura katikati ya njia uku kapanua kichwa kimekua kipana kama upawa. Ghafla akanitokea nduki anakimbia mbaya mbovu uwezi amini...
View ArticleUkweli smartphone ni tatizo kubwa kwenye familia zetu
Habai zenu wana JF Kama wiki moja imepita nilipata mwaliko kwa jamaa yangu fulani huko mkoani ,ni siku nyingi hatujaonana kiasi miaka kadhaa ,ukweli nilikwenda na nilianadaliwa msosi wa maana tu, kitu...
View ArticleSoma comments za JamiiForums uondoe stress
Eti walisema ukicheka unaongeza siku za kuishi na huondoa stress vile vile.... Hakuna ubishi kuna watu wana comment humu ukisoma utaishia kucheka na kufurahi mwenyewe... Hapa chini baadhi ya comment za...
View ArticleKwa wale wa Arusha tuonane hapa Picnic tucheki UEFA
Leo kuna fainali ya UEFA EUROP nipo hapa jijini Arusha kwa mapumziko mafupi kesho narudi jiji la madereva... Kama kuna mkuu yoyote yupo hapa mjini kati maeneo ya Picnic aje tuchek wote gem ya Liverpool...
View ArticleUshauri kwa makapuku wenzangu
Kwanza hongereni kwa kujiweka kwenye ramani ya JamiiForums Hata likes zinazoongoza kwa sasa ni za makapuku Bahati mbaya post bado mko nyuma sana....kwahiyo basi kuweza kubaki kwenye track na kupanua...
View ArticleUtambulisho wa Mahusiano kwa member wote wa JamiiForums
Habari za wakati huu wapendwa wa Jamii Forums ningependa tutambulishane tuko katika mahusiano gani na tuna watoto wangapi ili kuondoa utata kwa wale wanaovamiana PM na kukurupukia wake au waume za watu...
View Articleraha sana kushuhudia ugomvi wa watoto wa kike.
tazama video halafu,vuta picha siku shilole atakapo kutana na venessa mdee kama alivo haidi ktk lile bifu lao linalo endelea.
View ArticleNashindwa kuamua
Habarini ndugu zangu was JF, Natumai mu wazima wa siha njema. Mimi ni kijana wa miaka 22,nina mpenzi ambaye tumedumu naye kwa takribani miaka miwili na ananipenda sana kwani mimi ndiye niliyekuwa wa...
View ArticleTuache utani, usione mwenzako ana six packs ukadhani kaziokota barabarani
Wakuu habari ya muda huu, Kusema kweli nieape tu pongezi wote wenye six packs au flat belly kwa jitihada zao.Usione mtu ana six packs ukamchukulia poa ukadhani zinaokotwa ti barabarani au zinapatikana...
View ArticleQualifications za kwenye social media
Profile za Facebook watu wote ni magraduate, wengine nilisoma nao tangu primary kitaa tunajuana vizuri tu. Tena wengi wanaweka UDSM, sasa hii ni kujifurahisha au inafaida nyingine jamani.
View ArticleKwichi kwichi usiku mzima
Haya ni mateso bila haki. Wee subiri na Mimi Leo narudi na kitu Kila MTU ana mzuka lakini si kwa style hii aisee hapana kabisa Nyumba zenyewe hizi za uswazi hazina singlibodi halafu mnatifuana kwa...
View ArticleKwanini wanawake tunapenda kugeuka wanaume wanapotutazama?
Binafsi huwa napenda sana kumgeuzia mwanaume wezele langu ili kumdatisha sema ishakuwa too much what else dear ladies kwanini hii sehemu iwe maarufu mno zaidi ya maungo mengine ya mwili kama uso,...
View ArticleWanaJF waishio Mwanza tufahamiane
habari wana JF, Naomba kama wanaJF waishio Mwanza tufahamiane. Namaanisha wanaoishi Mwanza sio waliozaliwa Mwanza karibuni
View ArticleViroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)
Nakumbuka ilikuwa Mwaka 2008 mwezi Juni nilikuwa naenda kikazi Lusaka, Zambia basi sijui hili wala lile kwenye tiketi iliandikwa saa ya ndege kuondoka saa 12 asubuhi (ndege ndo inapaa) mimi nikajipa...
View ArticleIngekuwa vipi?
Bro alitaka kumuoa mpenzi wangu pasipo kujua ... ingekuwa pivi kama angemuoa? Wamama wa humu natamani avatar zao ... ingekuwa vipi kama ningewaona?
View ArticleDawa za mapenzi watoazo waganga wa jadi na nanuwio yake
Salamu kwenu ndg wanaJF, Leo nimeona niwashirikishe baadhi ya dawa za mapenzi wanazozitoa waganga wa kienyeji ili manzi flani akukubalie kinapenzi. Utafiti huu niliufanya kwa mtaalam flani.Mteja...
View ArticleQuotes...
A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man.
View ArticleUkiwa na safari moja na mwanamke jiandae kuchelewa
Vinginevyo kama umepanga kuondoka SAA 1 mwamshe saa 11 asubuhi, vinginevyo utachelewa tuu, mtagombana tuuuu, Kwani nini kinawasibugi wadada?
View Articlejamani mwenzenu mieee
      Mi mrefu..Urefu kama wa futi 5 hivi.Sasa na huu mwili wa wastani +urefu pamoja na kuwa mzuri wa kawaida katika kupendwa nakutana na wafupi tu na ndo wanaonekana wana upendo wa dhati but ni...
View ArticleNaomba msaada kwenye hili tangazo la TiGo....!!!
Wakuu, Hili tangazo la tigo ambalo ameigiza joti na Natasha nimeshindwa kabisa kupata logic yake, mara joti kapigiwa simu na Mke wake ambaye ni Natasha yuko ndani anamwuuliza nani ni no.1 wake af then...
View Article