Wana Chit Chat!!!
Huu uzi unawekwa hapa kwa malengo mazuri tu kama vile;
1.Kuepusha kuharibu nyuzi nyingine!! Inatokea mara nyingi sana hapa jukwaani,
mistari inashushwa sehemu yoyote ile so kunakuwa na mwingiliano wa mada.
Kama kuna uliyempenda kutoka jukwaa lolote lile mlete hapa umwambie.
Kwa hiyo kupitia huu uzi hapa ambao ni maalumu wa kuelezana yale ya moyoni, utaeleza hisia zako na kumtaja mhusika wako na ikionekana unahitaji msaada utasaidiwa...
Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima