Cheka uongeze siku za kuishi
Jamaa alikuwa bonge aliona tangazo limeandikwa : "Punguza kilo 5 kwa wiki" Akawapigia simu na kuomba kujiunga, Binti:Sawa uwe tayari hapa ofisini kwetu kesho saa 12 za Asubuhi.. Siku ya pili akenda na...
View ArticleMsaada: Chura imekuwa kero
Nimejaribu kila njia ya kiungwana kama kwenda kumuomba apunguze sauti ya mziki wake mara kadhaa lakini jirani huyu asikii. Nimeenda hadi kwa balozi wa nyumba kumi lakini still bado huyu dada asikii....
View ArticleNifanye nini hapa?
Habari zenu waungwana.Nina swala kichwani mwangu linanitatiza sana.Nawaza nichukue hatua gani lakini najikuta nakosa chakufanya. Ni hivi,mwaka 2011 March nilianza mahusiano na binti mmoja ambaye...
View ArticleQuotes...
A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man.
View ArticleThe Most Beautiful Woman in The World!! I love you...
Sina sehemu yakutosha yakuelezea uzuri wako mpenzi wangu, tabia yako nzuri, kujali kwako, upole wako na ubunifu wako unanifanya nikuone bora kila siku... Ninayo furaha kubwa kuwa nawe!! utii wako...
View ArticleUsafiri wa Rukwa
Waungwana naomba kujua ratiba na gharama za mabasi yanayosafiri kutoka Dar-rukwa moja kwa moja.
View ArticleLive Streaming: Mtongozano Kiutu uzima
Wana Chit Chat!!! Huu uzi unawekwa hapa kwa malengo mazuri tu kama vile; 1.Kuepusha kuharibu nyuzi nyingine!! Inatokea mara nyingi sana hapa jukwaani, mistari inashushwa sehemu yoyote ile so kunakuwa...
View ArticleKama ungepata nafasi ya kuzaliwa mara ya pili ila uwe mnyama! ungechagua kuwa...
Mimi ningechagua kuzaliwa Simba! Wewe je! Ungezaliwa mnyama gani? Au ndege gani? Na kwa nini?
View Article20 most Influential JF members 2016
20 Most influential Jf members Wakuu leo nimeona nitoe list ya watu wenye ushawishi , kuna muda unaweza ukawa huna cha kuandika au kukoment humu ila unaweza kupitia habari mbalimbali ambazo nyingi...
View Articlemsaada wana jf
Mimi ni binti wa miaka 20 Na kadhaa,nimekuwa nkisumbuliwa na matatizo tofauti ikiwemo kuongea usiku nikiwa usingizin.Sina wazaz nimelelewa na walezi tangu utotoni.nimeenda sehemu nyingi kutafuta...
View ArticleKwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?
Wana Forum; Mniwie radhi kwani si kawaida yangu kutembelea jukwaa hili la wapwa na mabinamu lakini leo imenilazimu . . . . Ashakum si matusi . . . Nikiwa ofisini katika kazi zangu za kawaida kuna dada...
View ArticleUkweli smartphone ni tatizo kubwa kwenye familia zetu
Habai zenu wana JF Kama wiki moja imepita nilipata mwaliko kwa jamaa yangu fulani huko mkoani ,ni siku nyingi hatujaonana kiasi miaka kadhaa ,ukweli nilikwenda na nilianadaliwa msosi wa maana tu, kitu...
View ArticleNapenda Mke Wangu Atoke Zanzibar
>> Ni Sifa Zipi Nazotakiwa Kuwa Nazo Ili Nipate Mke Toka Zanzbar.... Sambamba na Hilo Hebu Nionjesheni Sifa Zao Kulingana na Sehemu au Jamii Watokayo, Japo Najua Chache. >> Pia, Naomba...
View ArticleMchumba atemwa baada ya kutoomba hela ya matumizi kwa miezi 2
Mwanaume alisikika akilalama "haiwezekani akae kimya kwa miezi 2, anatumia nn? Au kuna mtu mwingine ana mhudumia? Siku za nyuma ilikuwa haiishi wiki". Haya yameibuka huku kwetu uswazi. Jamani...
View ArticleWatu wa Dar na kingereza cha hapa na pale
Hulka ya kuongea kiswanglish Dar inakua kwa kasi sana,mbaya zaidi ni pale mtu anataka kubwabwaja katika suala la kitalamu zaidi. Wadada nao ndo komesha utasikia,u know...,i was like kwamba..,yani kero...
View Article