Quantcast
Channel: JF Chit-Chat
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Watu wa Dar na kingereza cha hapa na pale

$
0
0
Hulka ya kuongea kiswanglish Dar inakua kwa kasi sana,mbaya zaidi ni pale mtu anataka kubwabwaja katika suala la kitalamu zaidi.

Wadada nao ndo komesha utasikia,u know...,i was like kwamba..,yani kero tupu.Mabishoo nao ndo kabisaaa! Wanachafua lugha ya malkia.

Kama ukiamua kuchana yai chana usichangane na kibantu.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Trending Articles