Ushauri haraka iwezekanavyo
Kudos hi!! Kuna mresh ameleta mtoi kwetu akisema ni wangu. Na huyo mresh nilikuwa nimedo naye round Mwenda, but hata nahesabu months since nifunue booty ya mistubishi hata moon Sita haijakaa imefika....
View ArticleQuotes...
A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man.
View ArticleNimeumbwa niwe single?
Nishory ndefu in short Wakuu heshima kwenu Nina umri wa miaka 23 kwa kweli kuna mambo yananichanganya sana mpaka najiona sina bahati ya binti wa kujenga nae maisha,nilikuwa na mchumba ambae nilimpenda...
View ArticleViroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)
Nakumbuka ilikuwa Mwaka 2008 mwezi Juni nilikuwa naenda kikazi Lusaka, Zambia basi sijui hili wala lile kwenye tiketi iliandikwa saa ya ndege kuondoka saa 12 asubuhi (ndege ndo inapaa) mimi nikajipa...
View ArticleWanawake wa Dar wanaongoza kwa kuvaa mawigi na vitambi
Kwa anaeishi Dar atakubaliana nami, hebu hapo ulipo kama upo Dar geuka kushoto,kulia,nyuma, mbele, nipe hesabu ya wanawake waliovaa mawigi na wenye vitambi, Source mimi mwenyewe niko manzese
View ArticleLive Streaming: Mtongozano Kiutu uzima
Wana Chit Chat!!! Huu uzi unawekwa hapa kwa malengo mazuri tu kama vile; 1.Kuepusha kuharibu nyuzi nyingine!! Inatokea mara nyingi sana hapa jukwaani, mistari inashushwa sehemu yoyote ile so kunakuwa...
View ArticleNi kuku au chakula cha kuku?
Unaalika binti date alafu anakuja na maringio, eti oooohh sor!!!! Babe sitakula nikitoka home nilipitia TILAPIA HOTEL nikala kuku.. Wewe na ungentlemen wako unamnunulia whisky ya Jack Daniels ya sh....
View ArticleJiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi moja, siku moja na wewe
Huu uzi makhususi kwa wana Jamii forums membersÂ’ kujuana na mwenzake vizuri. Unacho takiwa kufanya ni kuandika siku yako ya kuzaliwa pamoja na mwezi. Mimi, August 15.
View ArticleMambo ya Dom hayo!!
1.Chang'ombe 2.Chamwino 3.Chadulu 4.Chinangali 5.Chinyoya 6... 7... Ongezea kama umewahi kuishi Dom
View ArticlePM za wadada wengi wa MMU zimejaa meseji za mitongozo
Wanajamvi mambo zenu. Nimegundua jukwaa hili limejaa wanaume wasio na mtazamo wowote zaidi ya ngono. wanaume wapo kwaajili ya kuvia mademu Ukifuatilia PM za wadada wanachangia humu utaona jinsi...
View ArticleGuest/hotel salama kwa wezi wa wake/waume za watu Dsm
Je wewe una mpenzi wako ambaye ni mke au mume wa mtu hapa Dar es Salaam na unatafuta Guest/Hotel itakayokuwa salama kwa ajili ya kupumzika na mwenzio? Hapa nitataja kuanzia Hotel za bei ya juu kidogo...
View ArticleNi movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?
Wapendwa kimtazamo ni movie gani ambayo ilikuvutia sana au ilikukugusa kwa namna moja hadi nyingine Mfano. Kuna bongo movie moja inaitwa vivia ukiangalia unaweza kulia Pia kuna Captain Philips bonge la...
View ArticleHivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?
Nimekuwa humu kwa kipindi kidogo lakini hili la kuitana 'Mkuu' limekuja tu. Sijui kwanini wakuu?
View ArticleAcoustic Guitar... "Amezaliwa Mkombozi"...
Ni rough cut ya wimbo ambao nilikuwa nao mawazoni kwa karibu miaka mitatu sasa. So I decided to pick up my guitar na kurelax kidogo kwa kucheza muziki huu.. hope waimbaji wazuri wanaweza kuufanyia kazi...
View ArticleMtanzania yeyote aliyepo Bern Switzerland naomba anicheki PM. Nimefika hapa leo
Habari wakuu, Naomba aliyepo anicheki angalau nipate mtanzania wa kuongea naye. Asanteni.
View ArticleBado Kupita TAZARA FLY OVER
Nilitamani niingie uwanja wa Taifa Nilitamani Nipite Daraja la Nyerere Nilitamani Nipande mabasi ya Kasi Sasa naomba nipite fly over TAZARA wewe je?
View ArticleNimetukanwa tusi jipya leo, sijaelewa maana yake
Nimetukanwa Kinyambe chako weee. Mimi nilikuwa najua Kinyambe ni jina la mtu, kumbe ni tusi jamani....... Daslamu matusi mengi jamani.... Wageni mwakaribishwa msijifunze mambo ya mji huu. Ushoga, wizi,...
View ArticleNaweza kuwa nina mimba?
Hbr za Leo wadau! Nakia kichefuchefu, kizunguzungu, hasira, na udhaifu wa mwili. Kwa dalili hizo ninaweza kuwa nimeshika mimba? Simpendi mume wangu hata akinipigia simu nasikia hasira sipokei simu yake...
View ArticleHuu mchezo hauitaji hasira...
Dah,ishakuwa nongwa sasa kila kona kila Mahala utasikia huu mchezo hauitaji hasira,yaani kama kuna mtu anapofolewa vileee,Ila mi sina uhakika...... lakini nataka kujua huooo mchezo usihoitaji hasira Ni...
View Article3rd Anniversary ya Blogu ya Wananchi, Nchi ilisimama kwa masaa kadhaa
jana nchi ilisimama kwa masaa kadhaa baada ya muwekezaji mkubwa kwenye suala la mitandao ya kijamii kutimiza miaka mitatu ya uwekezaji baada ya kutoka ulaya na Marekani na utajiri wa kutisha uliofikia...
View Article