Quantcast
Channel: JF Chit-Chat
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Nimeumbwa niwe single?

$
0
0
Nishory ndefu in short
Wakuu heshima kwenu Nina umri wa miaka 23 kwa kweli kuna mambo yananichanganya sana mpaka najiona sina bahati ya binti wa kujenga nae maisha,nilikuwa na mchumba ambae nilimpenda sana nilidumu nae kwa mda wa mwaka 1 tuliachana kwa maneno ya watu ,baada ya miezi nikampata mwengine ambaye nilimpata mkoani tanga nilikwenda likizo kusalimia wakati narudi dar (nyumbani)yeye alikua tanga akisoma ila kwao ni dar kikapita kipindi kirefu bila wasiliana kutokana sikua nasimu...

Nimeumbwa niwe single?

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Trending Articles