Dah,ishakuwa nongwa sasa kila kona kila Mahala utasikia huu mchezo hauitaji hasira,yaani kama kuna mtu anapofolewa vileee,Ila mi sina uhakika...... lakini nataka kujua huooo mchezo usihoitaji hasira Ni upi haswaaaa!!????
↧