Quantcast
Channel: JF Chit-Chat
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Naweza kuwa nina mimba?

$
0
0
Hbr za Leo wadau!
Nakia kichefuchefu, kizunguzungu, hasira, na udhaifu wa mwili.

Kwa dalili hizo ninaweza kuwa nimeshika mimba?

Simpendi mume wangu hata akinipigia simu nasikia hasira sipokei simu yake na ikitokea nimepokea namtukana.

Nisaidieni, je inaweza kuwa ni mimba au mapepo?

Nawasilisha kwa upole na unyenyekevu wa hali ya juu.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Trending Articles