Quantcast
Channel: JF Chit-Chat
Browsing all 12068 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hongera Charminglady for Baby Boy

Wana MMU napenda kuwapa habari njema kwamba mwana MMU mwenzatu charminglady... Hongera Charminglady for Baby Boy

View Article


Ndoa ya monicca inautesa moyo wangu

Mabibi na mabwana itifaki imezingatiwa! Moja kwa moja niyaanike yale ya moyoni,ikiwa hata wiki moja hajamaliza toka moniccca autangazie ulimwengu kuwa tayari ameshaunganisha mwili wake mpaka kifo...

View Article


Naongea toka moyoni nampenda sana Valentina

Sina Mengi nataka awe mwenza wangu wa Maisha ..

View Article

Ni movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?

Wapendwa kimtazamo ni movie gani ambayo ilikuvutia sana au ilikukugusa kwa namna moja hadi nyingine Mfano. Kuna bongo movie moja inaitwa vivia ukiangalia unaweza kulia Pia kuna Captain Philips bonge la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWEJE KUJUA ATUJUZE HII KITU JAMANI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

H.b.d to me

Leo nasheherekea siku yangu ya kuzaliwa na kutimiza miaka kadhaa.. Namshukuru Mungu kwa mengi... pongezi sana kwa mwingine aliyezaliwa siku kama ya leo na Taurus wenzangu wote.. Nifah karibu ule...

View Article

Hatari: Wife wa mshikaji ameanza kulala na panga

wakuu kuna mshikaji wangu hivi kila akilala usiku anamuota israel mtoa roho anamvizia vizia hii yote ni kwa sababu ya hofu ya kutolewa roho na mkewe aliyeanza tabia ya kulala na mapanga na visu wakati...

View Article

Wa Dar ni mchuzi wa pweza, wa Mwanza ni sato na sangara

aaaaaaaaaaaahahahaaaaaha, eti wanaume wa dar wanashindia kunywa supu ya pweza tu wakati wanaume wa mwanza wanachapa sato na sangara tu, wakuu mnadhani kuna tatizo gani hapa kwa mfano?

View Article


Kwanini wanaume wengi siku hizi hupenda sana kubeba mafuta ya mgando mifukoni?

Hii Tabia Ilianza Kidogo Sana Ila Kadri Siku Zinavyoenda Sasa Imeota MIZIZI Huku Ikileta Sintofahamu Katika Jamii. Imegundulika Ya Kwamba Wanaume Wengi Sana Siku Hizi Wameanzisha Tabia Ya Kutembea Kama...

View Article


Aliyekutangulia Kakutangulia tu! Tulieni

Ha ha ha ha. Ngoja niseme kitu hapa, nimepitia pitia hapa na nimegundua machache haswaa kuhusu sisi ma underground! Nimeona hata tupige makelel kiasi gani hatuwezi kuwa maarufu kama walivyo wao. Mkuu...

View Article

Baada ya kupata mtoto no swaga,pozi,promo,kimyaaaa...chezea kulea?

wakuu kuna huyu best yetu kabla hawajapata kid walisumbua sana na manzi wake wa pande za kuleee,walikula bata,kuku ,swaga kibao, mara pati kibao pande za mount kibo, ilikua ni shidaaa mazee, but baada...

View Article

Wachawi wenzangu!

Jamani mbona leo mmechelewa, si tulielewana mida ya saa fulani kuliteka hili jukwaa aaagh…. Ok bac tujitahidi kesho mapema msiniangusheee!

View Article

Nawashukuru wana jf hatimaye nimempata Valentina

Asanteni sana kweli Sikio la kufa halisikii dawa kutokana na kutokata tamaa hatimaye nimempata wa ubani..Natangaza kuanzia leô tar 28/4/16 na kuendelea sitomwacha Valentina daima

View Article


Nimeamini watu wa mbeya, iringa, ruvuma ni Waoga kuhusu mlima kitonga

Wakuu salam zenu.. Mmekuwa waoga sana kwa kuongelea mlima wa kitonga ni hatari zaidi kutokana na kuwa na kona nyingi juzi nilipopita pale kweli nimeamini watu wanaishi mikoa hii ya mbeya, iringa,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Leo nasheherekea siku yangu ya kuzaliwa

Leo nasheherekea siku yangu ya kuzaliwa na kutimiza miaka kadhaa.. Namshukuru Mungu kwa mengi... pongezi sana kwa mwingine aliyezaliwa siku kama ya leo na Taurus wenzangu wote.. Nifah karibu ule...

View Article


Wa Karagwe na Kyerwa tukutane hapa

Tukutane hapa tubadilishane mawazo na kuleteana maendeleo. Karagwe na Kyerwa mkoa Kagera

View Article

House girl atumbuliwa na boss wake kwa kufanya kazi bila kupokea mshahara

Hapo mtaa wa pili mama mmoja ametafakari hatua aliyoichukua JPM kumtumbua mkurugenzi mmoja aliyefanya kazi tangu April 2013. Mama huyo ameamua kuhamishia hatua kama hiyo kwa mfanyakazi wake wa ndani...

View Article


Kuolewa raha!

Jamani kumbe kuolewa ni raha hivi, Ukiwa jikoni mume huyu hapa, Ukienda chumbani utasikii vipi sweetie, Mkiwa na kamtoko utafunguliwa mlango wa gari wewe ni kuingia na kukaa kisha mlango wa fungwa,...

View Article

Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Hbr zenu wanajamii wenzangu. Nina furaha na heshima kubwa kuwaandikia machache kati ya mengi yaliyojili tangu nimefunga ndoa na Leo ikiwa ni siku ya nne. Kwanza kbsa nachukua nafasi hii kumuomba...

View Article

Napenda Mke Wangu Atoke Zanzibar

>> Ni Sifa Zipi Nazotakiwa Kuwa Nazo Ili Nipate Mke Toka Zanzbar.... Sambamba na Hilo Hebu Nionjesheni Sifa Zao Kulingana na Sehemu au Jamii Watokayo, Japo Najua Chache. >> Pia, Naomba...

View Article
Browsing all 12068 articles
Browse latest View live