Quantcast
Channel: JF Chit-Chat
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Kuolewa raha!

$
0
0
Jamani kumbe kuolewa ni raha hivi,
Ukiwa jikoni mume huyu hapa,

Ukienda chumbani utasikii vipi sweetie,

Mkiwa na kamtoko utafunguliwa mlango wa gari wewe ni kuingia na kukaa kisha mlango wa fungwa,

Ukikohoa kidogo utasikia vipi babe unaumwa?

Ni full raha, yaani raha.

Asante mume wangu.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Trending Articles