Quantcast
Channel: JF Chit-Chat
Browsing all 12068 articles
Browse latest View live
↧

Abiria wa siti ya nyuma kanyoosha mguu wake wa kulia, kule chini kuna kwato

Jamani eeeeh! Nipo kwenye dala dala hapa natoka kibaruani na kwa mji wangu. Nimekaa Nimekaaa siti karibu na mlango wa conductor, abiria wa siti ya nyuma kanyoosha mguu wake wa kulia, kule chini kuna...

View Article


Aliyekutangulia Kakutangulia tu! Tulieni

Ha ha ha ha. Ngoja niseme kitu hapa, nimepitia pitia hapa na nimegundua machache haswaa kuhusu sisi ma underground! Nimeona hata tupige makelel kiasi gani hatuwezi kuwa maarufu kama walivyo wao. Mkuu...

View Article


Nakereka sana na huu msemo ''Wanaume wa Dar''

Habari zenu wanajamvi, Mimi kuna msemo unanikera maana unageneralize "wanaume wa Dar". Alafu mbaya zaidi hadi wanaume wenzetu kutoka mikoani wanatusema. Kuna wengine ndo kwetu na wa mkoa wakija ndo...

View Article

Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi moja, siku moja na wewe

Huu uzi makhususi kwa wana Jamii forums membersÂ’ kujuana na mwenzake vizuri. Unacho takiwa kufanya ni kuandika siku yako ya kuzaliwa pamoja na mwezi. Mimi, August 15.

View Article

Couples Verification!

Hello wanajamvi! Ninaomba kuweka wazi couples ninazozitambua hadi sasa na kama kuna ambao nimewasahau naomba wajitambulishe haraka tafadhari. Erickb52 na Chocs watu8 na measkron ... Couples Verification!

View Article


Mwisho wa reli ni kigoma

Mwisho wa trophy point ni 113 Kwanini iwe 113? Kuna siri gani nyuma yake? Kukuruka wee post zitaongeza followers wataongezeka likes zitaongeza hasa kama unatokea kapuku forum [emoji23] [emoji23]...

View Article

Congrats kwa wanaJF wenzangu kwa waliozaliwa leo 24/4

Mimi nikiwa moja wenu nawatakia maisha mema na yenye baraka tele.

View Article

Natafuta Wanawake wa kuchati nao

Habari zenu wana JF? Natafuta marafiki wakuchati nao, waliokomaa kiakili. Kama wewe ni KE ruksa kuja PM

View Article


Natafuta mchumba

View Article


Picha: Sijui siku hizi akina dada wa kizungu wanatumia mchina

Ebwana wanaJF mzuka! Wala sidanganyi udhaifu wangu tu hupo hapa. Kila nikipishana nao mapigo ya moyo wangu dhaif yanaenda mbio kwa kas ya ajab. Siku nikiwa tajir Amatus cha mtoto. Eti namilik vitalu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Niaje wana jf

View Article

Vibweka uzunguni Joto City !!!

Vipi makamanda laifu linasonga wanangu ? Last week nilipita uzunguni pande za Masaki na Oysterbay kupiga mishemishe kule...Basi nikanusanusa na kugundua vijimambo vyao ambavyo pia vipi sehemu za wenye...

View Article

Kabila linaloongoza kwa wanawake wenye makalio makubwa Tanzania

Kumekuwa na mabishano sana hapa kazini kuwa kuna kabila gani linaloongoza kwa wanawake wenye makalio makubwa na hii imetokana na mfanyakazi mmoja kujoin na sisi kutoka kabila la wahaya ambaye kidogo ni...

View Article


Dongo kwa wazee. !!!

Mishe zinaendaje masela? Sometime wazee wetu wanakera hapa mjini ni ving'ang'anizi wa everything. na magumashi kibao..... 1/Kijana tunasaga lapa mitaa ya kati unaibuka maofisini kuomba ajira unakutana...

View Article

Jamani eeh, ninaombeni msaada wa haraka

Nina mpenzi wangu ambaye nimedumu naye muda mrefu sana na nilikuwa na malengo ya kumuoa kati ya mwakani au mwaka unaofwata ila kuna tatizo limenitokea muda huu hapa na hilo tatizo ndo limenifanya...

View Article


Mkunaji na mkunwaji nani anaesikia raha zaidi?

Nisaidieni wakuu, hilo swali linaumiza Kichwa yangu.

View Article

WASIWASI: Bitoz Na Makapuku Forum

Nimekuwa nikitafakari kuhusu Makapuku Forum Na huyu anayejiita mwanzilishi Mkuu Bitoz. Bandiko hilo la Makapuku Forum limenifanya sasa nijihisi nipo Jamii Forum kutokana Na kupanda ghafla Kwa idadi ya...

View Article


Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Wana Chit Chat!!! Huu uzi unawekwa hapa kwa malengo mazuri tu kama vile; 1.Kuepusha kuharibu nyuzi nyingine!! Inatokea mara nyingi sana hapa jukwaani, mistari inashushwa sehemu yoyote ile so kunakuwa...

View Article

Mnacheki tv pamoja na watoto, Ghafla mambo flan hayoo!!!!

Ishawahi kukutokea umepumzika sebuleni mnakula chakula cha usiku pamoja na wife na watoto mkawa mnacheki t.v show amazing alaf ghafla katkat ya show vitu flan nasty vikaanza kama sex scenes na mbaya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Inasemeka wadada ndio wanaopenda zaidi picha zetu za pilau

View Article
Browsing all 12068 articles
Browse latest View live