Quantcast
Channel: JF Chit-Chat
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

WASIWASI: Bitoz Na Makapuku Forum

$
0
0
Nimekuwa nikitafakari kuhusu Makapuku Forum Na huyu anayejiita mwanzilishi Mkuu Bitoz.
Bandiko hilo la Makapuku Forum limenifanya sasa nijihisi nipo Jamii Forum kutokana Na kupanda ghafla Kwa idadi ya Likes Na Trophy points.
Natanguliza shukurani kwa mwanzilishi lakini ni vema nieleze niliyotafakari.
Katika tafakari nimehisi huweza kuwa Bitoz alikuwa member mkongwe kuliko Faizafoxy humu JF ila akasahau password. Hii ikasababisha ajipatie ID nyingine Hali iliyosababisha kuanza upya kusaka...

WASIWASI: Bitoz Na Makapuku Forum

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Trending Articles