Quantcast
Channel: JF Chit-Chat
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Nimeamini watu wa mbeya, iringa, ruvuma ni Waoga kuhusu mlima kitonga

$
0
0
Wakuu salam zenu..
Mmekuwa waoga sana kwa kuongelea mlima wa kitonga ni hatari zaidi kutokana na kuwa na kona nyingi juzi nilipopita pale kweli nimeamini watu wanaishi mikoa hii ya mbeya, iringa, ruvuma ni waoga kuliko kwa kuwa zipo barabara hatari zaidi ya mlima huo kitonga

Barabara hatari zaidi duniani...

Nimeamini watu wa mbeya, iringa, ruvuma ni Waoga kuhusu mlima kitonga

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Trending Articles