LAP TOP GANI NI NZURI KULIKO ZOTE
Naombeni ushauri juu ya hii kitu coz nataka kununua LAP TOP ila cjajua ni zipi nzuri kuliko na yenye sauti zaidi bila kuweka spika za nje
View ArticleCombination za wapenzi
Jumapili njema Nazungumzia aina za wapenzi,maana katika maisha tunatodautiana kwa mambo mengi...twende sasa 1/Sugar mummy & Mario Penzi la aina hii ni kati ya mwanamke wa makamo na mvulana/mwanaume...
View ArticleLive Streaming: Mtongozano Kiutu uzima
Wana Chit Chat!!! Huu uzi unawekwa hapa kwa malengo mazuri tu kama vile; 1.Kuepusha kuharibu nyuzi nyingine!! Inatokea mara nyingi sana hapa jukwaani, mistari inashushwa sehemu yoyote ile so kunakuwa...
View ArticleNatafuta mdada umri kuanzia 20-35
Habari kama wewe ni mdada umri 20-35 ingia PM tuyajenge. Niko serious sana nahitaji furaha.
View ArticleSiri ya kuchepuka si mchezo
Juzi kati nilichepuka na bidada mmoja mwenye mkia wa maana hipsi safi ila sijaona utamu niliokuwa naudhania anao nikapiga mizigo yangu miwili kwa kutumia rough.... Leo ananiambia ulitumia ile kondo......
View ArticleNimecheza dili nyingi lakini hili lilikuwa Kali zaidi
Sisi madereva tax bwana tunacheza dili mbalimbali nyingi sana zote za hatari ila zingine huwa za hatari zaidi.Nakumba ilikuwa majira ya saa mbili usiku nikiwa nimepaki zangu nasubiri mteja mara ghafla...
View ArticleHuyu ndie Kitwanga
Mbunge aliyeombewa kura na Mh. na kaachishwa kazi na Mh. Cheo cha undugu ndo madhara yake haya. View attachment 349670 ​
View ArticleKuwa makini na aina hii ya Utapeli
Juzi juzi nilikua napitia pitia ajira online nikakutana na hii moja toka website ya Zoom Tanzania. Kampuni inaitwa DELIP ni NGO japo nlipojaribu kuifanyia utafiti sikuweza pata chochote online nikawa...
View ArticleAvatar inayokufurahisha zaidi..
Wakuu wangu nawasalimia, Ni avatar ipi ya mwana JF inakufurahisha zaidi?Aidha unacheka,unatabasamu,unaipenda au inakufanya umtafakari huyu mwenye hiyo avatar?Mimi kuna avatar huwa nikiziangalia huwa...
View ArticleHebu tukumbushane makundi ya muziki yaliyotanba
Habari wakuu,leo naona tukumbushane makundi ambayo yalikuwa yanajihusisha na biashara ya mziki kuanzia hapa bongo,Africa na kote ulimwengu
View ArticleWanawake wa Dar wanaongoza kwa kuvaa mawigi na vitambi
Kwa anaeishi Dar atakubaliana nami, hebu hapo ulipo kama upo Dar geuka kushoto,kulia,nyuma, mbele, nipe hesabu ya wanawake waliovaa mawigi na wenye vitambi, Source mimi mwenyewe niko manzese
View ArticleNajuta kuolewa!
Yaani ni tabu ukichelewa kurudi kidogo tu lawama kibao. ukisema utembelee shost zako huruhusiwi na maneno kibao. kibaya zaid mume huyu ni bingwa wa kununa kitu kidogo atanuna siku saba! Loh ! Bora...
View ArticleNimekimbizwa na nyoka aina ya Koboko
Wakuu jana jioni nilipokua narejea home gafla nilikutana na nyoka Koboko kafura katikati ya njia uku kapanua kichwa kimekua kipana kama upawa. Ghafla akanitokea nduki anakimbia mbaya mbovu uwezi amini...
View ArticleGeorge Mpoji na Amanda!!
Wana chit chat mambo? Je unawakumbuka hao watu walikuwa maarufu sana kwenye matangazo ya Vodacom miaka ile!! Hivi hawa watu kweli wapo coz sijawahi wasikia wala kuwaona kwenye matangazo yoyote!! je...
View ArticleRebeca Gyumi unaninyima usingizi
Acha tu niseme jamani..huyu Dada kwa kweli moyo wangu unamsumbukia sana. Nimefaiti kukutana naye lakini mpaka sasa sijafanikiwa..Rebecca naomba ujue kuwa Mimi nakosa usingizi kwa ajili yako. Huko uliko...
View ArticleShairi kusindikiza utenguzi wa Kitwanga kutokana na ulevi
Mh. Kitwanga amekuwa habari kubwa tangu uncle Magu atengue uteuzi wake!, kishindo cha utenguzi huo kimepelekea tasnia ya sanaa kutoa wimbo maalumu kusindikiza habari hii ambayo tunategemea kuisahau...
View ArticleNachukia na sitaki kuona!
Hamjambo WanaJF! Jamani mi nina tatzo na cjui ilikuwaje nikawa hivi! Mi mwenzenu tangu siku ya kwanza nilipoona umbile tupu la hawa wenzetu wa kike wakiwa utupu... Namaanisha nikiiona face 2 face ile...
View ArticleWadada kumbe ndo zenu?
Unaalika dame date halafu kinakam na maringo,ety oooh!,"...babe hata Sitakula nikitoka home nilipitia CHICKEN POINT nikakula kuku..." We na ugentleman wako unambuyia whiskey ya 3k,,afta kuchapa sip...
View ArticleSasa nakunywa chai kwa biskuti!
Jamani nyie haya mambo ya kijamii ni magumu acha. Hapa jirani na kwangu kuna dada mmoja anapika vitafunwa na chapati zake ni tamuuu, yani nikizila wala hata sijilazimishi na ninazipiga mpaka nashiba...
View ArticleNi movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?
Wapendwa kimtazamo ni movie gani ambayo ilikuvutia sana au ilikukugusa kwa namna moja hadi nyingine Mfano. Kuna bongo movie moja inaitwa vivia ukiangalia unaweza kulia Pia kuna Captain Philips bonge la...
View Article