Wana chit chat mambo? Je unawakumbuka hao watu walikuwa maarufu sana kwenye matangazo ya Vodacom miaka ile!! Hivi hawa watu kweli wapo coz sijawahi wasikia wala kuwaona kwenye matangazo yoyote!! je unakumbuka tangazo lolote la George Mpoji na Amanda?
↧