BBC wamechemka aise
kwani huyo wema ndona nani wakuteka media sasa kwani yeye akipata mchumba wengine ina wahusu nini hayo si maisha yake binafsi yaani mpaka bbc nao wanakaa kuitengenezea habari eti wema kapata mchumba...
View ArticleHuyu baba nampenda lakini hanielewi
Sijui nimfanyie nini jamani. Handsome la nguvu side burns zinavutia maana ni safi saa zote. Akivaa nguo zinamfit vzr sana. Tukitoka kila mtu jicho. Sipendi akasirike jmn nitaumia sana. Lakini kuna...
View ArticlePicha na Video: Eti huyu mdada wa kihindi naye ashindana na akina Masogange...
Ebwana wanaJF mzuka! Acheni Sagodi aitwe Sagodi! Mola tupe uvumilivu tu waja wako. Dah hii ni hatareee!! Cc Benny mgt software Borat69 Ng'wanapagitokyo40 Zamaulid UncleBen(Che) mrangi Smart911...
View ArticleKWANN BAA NYINGI HUEZWEKWA KWA MAKUTI
hii kitu nashangaaa kuona baaa kuezekwa kwa makuti
View ArticleNipeni ustar wa JF !!!
Habari wanajamvi.... Sio siri kuna member hapa JF washakuwa mastaa yaani wanapendwa au kufuatiliwa thread au comment zao na watu wengi sana hapa jukwaani lakini je wananufaika vipi na ustar wao ?...
View ArticlePreta njoo nikutongoze, wengine tulieni mjifunze
Preta njoo nikutongoze, wengine tulieni mjifunze Preta njoo nikutongoze, wengine tulieni mjifunze Kazi ipo Mwenyewe Mali nimejikalia kimyaaaaa
View ArticleAre you a paradox solver?Hop on board
Hello wana CC! You will be awarded 20,000,000 trophies,If you can solve profoundly the paradox below Lets begin... 1.THE STATEMENT BELOW IS TRUE 2.THE STATEMENT ABOVE IS FALSE Which statement is...
View ArticleNimekutana na Lara1 leo
Kwanza niseme kwamba nimevamia kambi ambayo mimi si mpenzi kuandika hoja labda kusoma tu. Lakini leo mchana nimesafari na binti mmoja katika gari moja la binafsi, baada ya kuwapatia lifti akiwa na kaka...
View ArticleMAGUFULI: All ministers & public officials must use PROBOX or VITZ
Dar-es-salaam TANZANIA. Ya kweli haya au nao ni uzushi mwingine tu!?? President Magufuli has banned all senior public officials from using fuel guzzling 4 x 4 cars and other luxury cars, ordering that...
View ArticleBiashara njema: Tanzania yarusha rocket katika Orbit
Salaam... Wakuu Hii inaweza Kuwa ni bishara njema kwa wa tz, usiku wa Jana kudamkia Leo nimeota. Serikali ya Tanzania imerusha rocket katika orbit kwa kusaidiwa na vijana wawili kutoka University Of...
View ArticlePreta njoo nikutongoze, wengine tulieni mjifunze
Habari wakuu, Mimi ni mgeni humu naomba knena. . Sorry nimesahau U hapo kwenye knena. . . Ilitakiwa kuwa kunena, yaani kuongea.... Naomba nitumie fursa hii adhwiim na jukwaa lenu kumtongoza binti...
View ArticleTujuane wana JF wa Mwanza
Habari za muda wana jamvi, leo nataka tufahamiane wana JF tunaotokea hapa Mwanza, unaeza uka comment mahali ulipo, lengo ni kufahamiana jamani, karibuniiii
View ArticleJiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi moja, siku moja na wewe
Huu uzi makhususi kwa wana Jamii forums members kujuana na mwenzake vizuri. Unacho takiwa kufanya ni kuandika siku yako ya kuzaliwa pamoja na mwezi. Mimi, August 15.
View ArticleChimbuko la Panya road & Vigodoro !!
Kama hujawahi kutembelea sehemu za uswahilini hasa mitaa ya Mabibo,Manzese na Kigogo jijini Dsm basi umepitwa na mambo mengi ya kufurahisha maishani! Ni sehemu zenye visa,vituko na mikasa ya kila aina....
View ArticleMabaamedi wa Sinza na Kinondoni
Ndio bomba zaidi wengi wana elimu ni wasafi wanang'ara wanatumia makeups vipodozi na marashi ya bei mbaya wanajua kusuka sangita za mmasai na Brazilian wanamiliki smart phones (japo nyingi ni mchina...
View ArticleMaasai Dada upo?
Jamani namtafuta huyu mdada, siku mingi NO SEE, chemistry ndo ilikuwa imeanza kunoga tu kati yetu ila me nikapotea humu kidogo, so napenda kumjulisha nimerudiiiiiiiiiii
View ArticleKituko cha utotoni ambacho sitakisahau
Nikiwa natoka shamba huku nimebeba mihogo kichwani na uchovu na njaa, niliamua kufumba macho ili nisione ninakokwenda na nistukie nimefika au kukaribia kitu fulani kikaniambaia nifumbue macho...
View ArticleWacha kuangalia jukwaa la wakubwa ukiwa ofisini.
Juzi ndiyo nilijua kumbe JF kuna jukwa la kikubwa baada ya kumkuta Assistant wangu akiwa amekuza picha ya kikubwa kwenye screen yake. Ilikuwa majira ya saa tano asubuhi tupo ofisini sasa kuna file...
View ArticleAngalia hapa kama unamtoto chekechea
Chekechea ni shule ya vidudu ya watoto wadogo sana wengine kuanzia mwaka mmoja ambao wanahitaji huduma na mapenzi ya karibu sawa na mama zao. Lakini utakuta shule zingine za aina hii wanaajiri watoto...
View Article