Chekechea ni shule ya vidudu ya watoto wadogo sana wengine kuanzia mwaka mmoja ambao wanahitaji huduma na mapenzi ya karibu sawa na mama zao. Lakini utakuta shule zingine za aina hii wanaajiri watoto wadogo kucheza nao na matokeo yake hawa watoto wanawatesa na kuwapiga sana hawa viumbe malaika ambao hata kuongea hawawezi.
Hakikisha unakuwa makini na shule hizi, kagua kabla ya kumwacha mwanao kuona ni watu wa aina gani unawaachia wakulele mtoto. Unapomwacha huko shuleni je Unajua mwanao...
Angalia hapa kama unamtoto chekechea