Quantcast
Channel: JF Chit-Chat
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Biashara njema: Tanzania yarusha rocket katika Orbit

$
0
0
Salaam...

Wakuu Hii inaweza Kuwa ni bishara njema kwa wa tz, usiku wa Jana kudamkia Leo nimeota. Serikali ya Tanzania imerusha rocket katika orbit kwa kusaidiwa na vijana wawili kutoka University Of Dar es salaam. Nilichopenda sana ktk hii ndoto ni ile logo ya TASA na bendera iliyobandikwa katika roketi. Et sehemu iliyorushwa ni pale ferry penye mnara wa kon.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Trending Articles