Quantcast
Channel: JF Chit-Chat
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Afumwa akifanya mapenzi ofisini

$
0
0
Wandugu habari za kazi,

Natumaini mpo poa na mnaendelea kuchapa kazi kwa maaendeleo ya taifa letu.

Leo kumetokea kituko cha mwaka ofisi kwetu yaani mpaka dakika hii bado ni gumzo.

Kuna mdada nafanya nae kazi hapa ni mtu mzima ameolewa na ana watoto wawili.

Cha kushangaza leo namuona mumewe kaja ofisini bila taarifa akamuulizia mkewe, kipindi hicho mkewe alikuwa ametoka Ila hakuna aliyejua alipokuwa. Baada ya sisi kumjibu jamaa hatujui mkewe alipo, jamaa akaniomba nimpeleke kwa bosi kwani...

Afumwa akifanya mapenzi ofisini

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Trending Articles