Quantcast
Channel: JF Chit-Chat
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Najisikia huzuni moyoni mwangu.

$
0
0
Za wakati tena wanajamvi!

Leo najisikia unyonge moyoni mwangu sijisikii kuchangamka kama nilivyozoeleka.

Najisikia kulia nikikumbuka madhambi yangu hasa ya uzinzi.

najisikia vibaya..bilashaka moyo wangu unaniongoza upande wa salama nawaza sijui niokoke au niendelee tu na uzinifu?

Ushauri wenu plz.

Na je nikiokoka Nani atawachangamsha tena?

Na je kweli naweza kusamehewa dhambi ya zinaa?

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Latest Images

Trending Articles



Latest Images