Habarini ndugu zangu was JF,
Natumai mu wazima wa siha njema.
Mimi ni kijana wa miaka 22,nina mpenzi ambaye tumedumu naye kwa takribani miaka miwili na ananipenda sana kwani mimi ndiye niliyekuwa wa kwanza kumtoa usichana wake.
Nilipanga nimuoe hapo baadae lakini siku baada ya siku upendo wangu kwake umepungua sana na imefikia kutokutamani kuongea nae kabisa.Kitu kilichosababisha ni yeye alivoamua kuutoa ujauzito wangu,japokuwa nilimkatalia katakata asifanye vile.
Anatamani niwe mumewe...
Nashindwa kuamua