Quantcast
Channel: JF Chit-Chat
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Kwanini Vibanio vya nguo vinapotea hata ukivihifadhi kwa umakini mkubwa?

$
0
0
Wakuu,

Baada ya kugundua kuwa mambo mengi yameshafanyiwa utafiti niliamua kufanya utafiti kuhusiana na vibanio vya nguo.

Ni hivi ukinunua vibanio 100 leo na kuanza kuvitumia baada ya miezi 6 ukihesabu utakuta vimepungua hata kama unavihifadhi kwa umakini mkubwa.

Mpaka sasa utafiti umeshindwa kubaini vinapokwenda.Hata madobi wanalalamika sana kuhusu hili.

Naomba anaejua anisaidie

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Latest Images

Trending Articles



Latest Images