Sisi wazee wa MM na JF kwa ujumla group letu limepungukiwa na wadada baada ya wadada baadhi kuwa masomoni,makazini nje ya nchi na company yetu kwa sasa imepwaya hivyo tunatoa tangazo tunahitaji wadada 5 tu wakali hatutaki wazee na wadada wasiku mingi humu...maudhui nikuwa sisi ni kampany kila jumamosi ni bata kama upo committed hatukutaki...naishia hapo ukitaka unaweza kupm kwa hawa watu nilio wakopy
Jiwe Linaloishi
kipajihalisi...
Sisi wazee wa JF tuna kundi letu
Jiwe Linaloishi
kipajihalisi...
Sisi wazee wa JF tuna kundi letu